Toka gen z waku pige machine, basi una bweka hovyoKila alipo mbwa koko tutamfuata, tutamchomoa kisha tutamtapisha pesa za wazungu kisha tutamalizana naye.
Hauwezi ita vijana wetu mbwa koko, bali anaye jificha kusikojulikana ndo mbwa koko. Pia mbwa koko ni mchoyo hatari na yuko tayari kuua mbwa yeyote hili aishi. Pia mbwa koko ni yule ambaye aishi kundi moja na wengine na hatakiwi kabisa na wengine. Ndo tabia za mbwa koko.Kila alipo mbwa koko tutamfuata, tutamchomoa kisha tutamtapisha pesa za wazungu kisha tutamalizana naye.
Mama ako alienda ubalozi wa USA kufanya nn, au nae tumtapishe hizo pesa za misaada anazompa mwanae na kukuacha ww ukipiga domo Huku?Kila alipo mbwa koko tutamfuata, tutamchomoa kisha tutamtapisha pesa za wazungu kisha tutamalizana naye.
Wao ndiyo wanadili na usalama, wanajua Wana taarifa gani,wewe muangalie mange tuPolisi wa TZ buana...
Sasa wanafunzi waandamane usiku usiku tena kutoka kule UDOM hadi mjini kati...
Siyo wajinga kama unavyodhaniWadogo zangu you know what to do.....