Ninadhani nini?Siyo wajinga kama unavyodhani
Unadhani ujinga ujingaNinadhani nini?
Em katombweh aseeUnadhani ujinga ujinga
Hiyo spana namba ngapi uliyompiga huyo mla makombo 😹😹Mama ako alienda ubalozi wa USA kufanya nn, au nae tumtapishe hizo pesa za misaada anazompa mwanae na kukuacha ww ukipiga domo Huku?
Spana ndogo tuu tena ya kinyonge, sasa machawa wa ccm wa JF huwezi kuwapiga na spana kubwa mana wnyw njaa kaliHiyo spana namba ngapi uliyompiga huyo mla makombo 😹😹
Mkubwa unakabia juu sanaa😂😂Mama ako alienda ubalozi wa USA kufanya nn, au nae tumtapishe hizo pesa za misaada anazompa mwanae na kukuacha ww ukipiga domo Huku?
Ithibitishwe kwamba nn?Kmmkmke, kama itathibitika kuwa hawa wangese wa udom (ambao wengi wao ni njaa tupu) Wana huu upumbavu wa kimange basi mama Samia awafutilie mbali mikopo yao wangese hao na watoke kwenye majengo yetu.......mamamamamae zao!
Hawa machawa wangese wanakera Sana aisee, n kama vile ukiwa ccm lazima uwe na matatizo ya akiliMkubwa unakabia juu sanaa😂😂
Kwa humu ni ku-Ignore ila mtaani Napiga kama sikufahamu vile....Hawa machawa wangese wanakera Sana aisee, n kama vile ukiwa ccm lazima uwe na matatizo ya akili
Binafsi siwez kumu-ignore yeyote humu mana kufanya hvy n Sawa na kumuogopa, na mm sina nidhamu ya uoga.Kwa humu ni ku-Ignore ila mtaani Napiga kama sikufahamu vile....
Majengo yako ulipeleka hata tofali hapo?Kmmkmke, kama itathibitika kuwa hawa wangese wa udom (ambao wengi wao ni njaa tupu) Wana huu upumbavu wa kimange basi mama Samia awafutilie mbali mikopo yao wangese hao na watoke kwenye majengo yetu.......mamamamamae zao!
Huna akili!Majengo yako ulipeleka hata tofali hapo?
Pumbavu.
Yaani hata akili hawatumiiPolisi wa TZ buana...
Sasa wanafunzi waandamane usiku usiku tena kutoka kule UDOM hadi mjini kati...
Boss wako akili anazo na D yake moja ya kiswahili form four?Huna akili!
Hii ngoma bado mbichi, wamedhibiti sana leo ila wanajua kuwa itakuja kupigwa ya kushtukiza, wamewadhubiti madogo Gen Z wakashindwa hata namna ya kukutana watashangazwa uhuru wa movements utakaporejea. Tanganyika haiwezi kuwa koloni la kudumu la Zanzibar.Magari ya polisi yakiwa mengi na maafisa wa polisi wakiwa na silaha za moto na helkopter wamekizingira chuo cha UDOM usiku huu
Haya yanajiri huku chuoni hapo kukiwa na vuguvugu la Maandamano ya Gen-Z yaliyopangwa kuelekea Ikulu ya Chamwino na maeneo ya Bunge
Usiku huu mambo si shwari chuo kikuu cha Dodoma, magari ya polisi yakiwa na askari wenye silaha pamoja na helikopta za kijeshi zimekizingira chuo hicho hali iliyosababisha taharuki kwa wanafunzi. #wananchiforum #forthepeople #tothepeople #bythepeople #d9View attachment 3513693
Kubwa sana hiyo!Boss wako akili anazo na D yake moja ya kiswahili form four?
Majengo yako? ona hii nayo.Kmmkmke, kama itathibitika kuwa hawa wangese wa udom (ambao wengi wao ni njaa tupu) Wana huu upumbavu wa kimange basi mama Samia awafutilie mbali mikopo yao wangese hao na watoke kwenye majengo yetu.......mamamamamae zao!