Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Umeniona ee?!!! SafiMajengo yako? ona hii nayo.
Definitely,hii ngoma bado mbichi kabisa , wao na Mama yao tunao hawaHii ngoma bado mbichi, wamedhibiti sana leo ila wanajua kuwa itakuja kupigwa ya kushtukiza, wamewadhubiti madogo Gen Z wakashindwa hata namna ya kukutana watashangazwa uhuru wa movements utakaporejea. Tanganyika haiwezi kuwa koloni la kudumu la Zanzibar.
majengo yetu
D ndo kubwa?Kubwa sana hiyo!
Wao ndiyo wanadili na usalama, wanajua Wana taarifa gani,wewe muangalie mange tu
Mtoto wa kike hii si sawaKikubwa dunia nzima inajua MO29 bikira ilitolewa, yani kuko wazi
Nimeishi miaka miwili hapo,na 2023 nilirudiHujawahi fika Dodoma, tulia....
Umemjibu vyema sana!Hauwezi ita vijana wetu mbwa koko, bali anaye jificha kusikojulikana ndo mbwa koko. Pia mbwa koko ni mchoyo hatari na yuko tayari kuua mbwa yeyote hili aishi. Pia mbwa koko ni yule ambaye aishi kundi moja na wengine na hatakiwi kabisa na wengine. Ndo tabia za mbwa koko.
We ulinitikania mzazi sio🫵🫵🫵🫵🫵Siyo wajinga kama unavyodhani
Kakanye wanao, sikuhusuMtoto wa kike hii si sawa
Kwani vijana wakiachwa wakaandamana kuna shida gani?Magari ya polisi yakiwa mengi na maafisa wa polisi wakiwa na silaha za moto na helkopter wamekizingira chuo cha UDOM usiku huu
Haya yanajiri huku chuoni hapo kukiwa na vuguvugu la Maandamano ya Gen-Z yaliyopangwa kuelekea Ikulu ya Chamwino na maeneo ya Bunge