Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mabeberu nao hivyohivyo. Soko lao kubwa liko China. Unajua Coca Cola wanaingiza mabilioni mangapi nchini China?Soko lenye hela ya bidhaa za mchina lipo kwenye nchi za mabeberu.
Kwenye nchi km za kwetu na za kiarabu, anapata hela ya madafu. Akipigwa ban kuuza bidhaa zake kichwa huwa kinamuuma sana.
China akipiga ban bidhaa za mabeberu ni uzalendo, ila za kwake zikipigwa ban ni wivu na hujuma
Mambo mengine yakushangaza kidogo,mbona BYD iliiingia ubia na kampuni fulani ya Kimerikani kuunda magari ya umeme, inasemekana wanawapa wakati mgumu kampuni ya TESLA katika mauzo, BYD is cheap easy to maintain na battery una charge kwa muda mfupi sana au. unakwenda kwenye vituo vyao una- swap ambayo hiko fully charged kuliko kusubiri kucharge nakupoteza muda.Tesla anapata upinzani mkali toka kwa BYD ya uchina. 😀 Watu wengi waki opt kuchukua gari ya kiwango hiko hiko toka China Tesla ataanguka. Ego inawatesa West!
Israeli mkata roho ndo haoSawa lakini tutakutana na kirungu kingne tena cha tanesco na TRA pale bandarini, nchi hii kupumzika Ni kaburini tu.
Mchina naona wanashindana naye akielekea kushinda wanamtafutia sababu.Baada ya makampuni ya uchina kuteka soko la magari ya umeme duniani kwa sasa.
Umoja wa ulaya kupitia kauli iliyo tolewa na Rais wa umoja huo sasa kuja na kampeni maalumu ya kudhibiti utitiri wa ndinga za EV toka China.
Bi Ursula Von de Leyen anasema
"Global markets are now flooded with cheaper Chinese electric cars.
And their price is kept artificially low by huge state subsidies.
We are launching an anti-subsidy investigation into electric vehicles coming from China."
View attachment 2748959
Umoja wa ulaya wataweza kweli kupambana na moto uliowashwa na haya makampuni ya umeme ya China yanayo pepea kwa kasi sasa ? Tusubiri tuone
Wao ndio wanapiga kelele. Sasa wanakili na kushangaa Huawei kawezaje kutengeneza chip iliyopo kwenye mate60 baada ya zile ban zote.Acha kunya cheche wewe mchina hana technology kali yakumfikia Mzungu nenda katawaze urudi kula.
Umeshaaza kumwaga utumbo wako,Hii fursa kwetu Afrika.
Imekuwaje mtazamo wake unautafsir km utumbo???Umeshaaza kumwaga utumbo wako,
Kuna kitengo cha kisenge sana pale kinaitwa sijui utafit na sera kinaongwa na akina mwiguluTanzania ni taifa la ajabu sana duniani.
Zitapigwa import duties kubwa, wao hesabu zao zitakuwa kwenye kufidia ile kodi ya kila lita ya mafuta inayoingia serikalini
Badala ya kuona hizi Electric Vehicles ni mkombozi kwa kulinda mazingira zitakuwa adui kwao
Mfano mzuri ni star linkIli wa discourage watu wasinunue, hofu yao ni kupoteza fedha za tozo wanazopiga kwenye mafuta. Hii nchi hatuoneani huruma hata kidogo
Umeshindwa hoja sasa yakanyage.Umeshaaza kumwaga utumbo wako,
TANESCO unawakwepa kwa solar and battery storage, nina solar na battery mwaka wa tatu sijui bill ya umeme inafananajeSawa lakini tutakutana na kirungu kingne tena cha tanesco na TRA pale bandarini, nchi hii kupumzika Ni kaburini tu.
Halina uhusiano sababu za kupigwa marufuku Kwa iphone ni za kiusalama kama USA ailivyopiga maruku HuaweiTatizo lilianza Mchina kupiga marufuku Iphone kwa matumizi ya ofisi za umma.
Ukimgusa Us umewagusa wazungu wote
Hata siku 1 usiwaamini wazungu. Kabla ya vita ya Urusi na Ukraine, west walikuwa na mipango kibao ya kulinda mazingira ila Urusi alivogoma kupeleka gesi kwa mataifa adui si ghafla walianza kufufua plants za makaa ya mawe! Wao kila sera inaangalia masrahi yao kwanza. Leo sera ya tena baada ya mchina kuwapiga gape kwenye gari za umeme wanataka kurudi kwenye diesel😀😀. Pumbavu kabisa wazunguKwahio suala sio utunzaji mazingira tena