Magari ya viongozi wa Serikali na afya za wananchi wa Tanzania kipi muhimu?

Nhif imeanzisha mpango wa kulipa kwa awamu (DUNDULIZA) ambapo mwanachama anaweza kulipa kidogo, kidogo kuanzia TZS 526 kwa siku. Haya ni mapinduzi makubwa na kujali wananchi wake

Vilevile, tunashukuru kwa fursa hii katika jukwaa hili kwani watu wengi zaidi wanaelimika na kujua huduma za Mfuko. Tunapokea kupokea maoni kufanya maboresho kwa huduma endelevu. Karibuni sana
 
Tukipunguza wivu na Chuki suala la magari halihusiani kabisa sababu hivi ni chombo cha usafiri tu na ni sawa na kusema mtu aache kula sababu hana nguo za kubadilisha.

Hoja hii jamani imeshaelezewa na nhif na kutolewa ufafanuzi nikusema tu kama tumejizima data watoto milioni 30 wamejiunga laki 2 unadhani Mfuko utaweza kujiendesha.
 
Tuwekeze nguvu sana kuhimiza wazazi wawaunganishe watoto wengi zaidi kwenye Mfuko kupitia mashuleni kwa wingi wao. Hii itawawezesha nhif kutoa huduma bila kikwazo
 
Tuwekeze nguvu sana kuhimiza wazazi wawaunganishe watoto wengi zaidi kwenye Mfuko kupitia mashuleni kwa wingi wao. Hii itawawezesha nhif kutoa huduma bila kikwazo
Unajua watanzania wangapi wanaishi chini ya dola moja? Nani atalipia bima zao NHIF?
 
Tuache NHIF wafanye kazi yao, Tupunguze Porojo huku mitandaoni bila kuwa na Data sahihi, Huu mfuko ni msaada mkubwa sana kwa jamii twende mbele turudi Nyuma wanaouguza nadhani wanafahamu hili vizuri.
 
Tuache NHIF wafanye kazi yao, Tupunguze Porojo huku mitandaoni bila kuwa na Data sahihi, Huu mfuko ni msaada mkubwa sana kwa jamii twende mbele turudi Nyuma wanaouguza nadhani wanafahamu hili vizuri.
Umesoma lakini, au uko hapo Slipway unabwabwaja?
 
Malipo ya wabunge ni indirect corruption. Lengo lilikua kuwalainisha wahusika wapitishe ajenda za watawala uko bungeni.
 
Nendeni siasani mkagombee
Easy....., Siasa kuna fursa😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…