Magari yote ya kubeba maiti yatakiwa kulipa Tsh milioni

Kabisa ndugu
 
m nashaur tue kama wa hind tu unachomwa majvu wanaweka kwenye kibakul ndugu wanachagua mmoja wanakuchangia laki unakata tket mghamba mpka moshi 35000 ten ya kula sngda unafka moshi unazka majvu ya ndugu yako unarud mkoa au nasema uongo ndugu zangu
Kwa nini usizungumzie country in general au kwenu ni moshi na ndiko mnazika sana?
 
Maana yake ni kwamba gharama za kusafirisha maiti ziwe juu, kweli hii nchi ya wanyonge hadi marehemu anatozwa kodi....
Acha ujinga wako kila leo kwani anayelipa hiyo hela ni maiti au kampuni inayomiliki gari hilo?

Kila kitu mnapinga tu pasupo ufahamu je wanaofanya hiyo biashara ya kusafirisha maiti hawalipi kodi?
 
Hii mada italeta maana km mwenye thread angedadavua yafuayo.
1. Hio kodi ni kwa trip, mwezi au mwaka?
2. Gharama wanazotoza wenye haya magari haya kwa trip zikoje, na wastani wa trips kwa mwezi upoje?
Niliwasiliana na meneja wa leseni kutoka Mamlaka Ya Udhibiti Usafiri Wa Ardhini (LATRA), ndugu Leo Ngowi, wanawaomba wananchi na wafanyabiashara muwe watulivu ila endeleeni kutoa ushirikiano na mapendekezo yenu, kwa ujumla yote yatapewa nafasi na yatazingatiwa.
 
Weka ushahidi wa kukwapua hizoTrillions acha ushabiki wa siasa za maji taka
 
WAUZA MAJENEZA KAENE MKAO WA KUTOZWA NA NYIE VERY SOON
 
Tusidanganye hakuna serikali inayoweza kuendesha nchi bila kukusanya kodi, hata wangeingia CHADEMA / ACT wazalendo / CUF kodi ingekusanywa tu. Kutoka maeneo gani kila biashara iliyohalali ingelipishwa kodi / tozo / ada/.
Nani kakuambia magari hayo hayalipi kodi?. Braza tuliza wenge
 
Hii mikopo ndugu.... Isingekuwa tunakopa hapo tungesema tozo na utitili wa kodi ni vya kuimarisha maisha ya Mtanzania lakini wapi! Maisha yanazidi kuwa magumu tu kila kukicha.

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
Tuweke rekodi sawa. Kati ya hivyo vyote, hio interchange ya Ubungo na baraba ya kwenda Kibaha ni pesa za Benki ya Dunia. Hizo zingine ni kodi zetu na mikopo
 
Acha ujinga wako kila leo kwani anayelipa hiyo hela ni maiti au kampuni inayomiliki gari hilo?

Kila kitu mnapinga tu pasupo ufahamu je wanaofanya hiyo biashara ya kusafirisha maiti hawalipi kodi?
Hiyo kodi mfanyabiashara ataifidia kwa kuongeza bei ya kusafirisha, yaani mwenye akili hata ya kuvukia barabara hawezi kushindwa kung'amua hili.
 
Tanzania kila malipo yanaanza juu mno utadhani wauza unga hawaamini katika kidogo kidogo ili uchumi wa watu ukue na serikali ipate mapato endelevu pia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…