Uhuru wa watu kutoa maoni yao na kukosoa bila kupigwa risasi. Mishahara kasema atapandisha. Amini yule mungu wako kafa na haturudi tena, pia muda wako wa kuomboleza utumie kutafuta pesa na siyo kulia au kutunza legacy uchwara