Mama siyo sawa na yule muuaji (jiwe)Labda kapandisha sketi.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama siyo sawa na yule muuaji (jiwe)Labda kapandisha sketi.!
Hahaha kuna watu mnajikubaliLabda kapandisha sketi.!
Mpumbavu Mwandamizi kama huyu Mtemi mpambalioto hawezi Kunielewa, Kukuelewa na Kuwaelewa wenye Akili Kubwa za Kumzidi Yeye.Ila habari Leo kidogo wamezidisha chumvi...c Dhani kama wafanyakazi watapendezwa na hili View attachment 2208191View attachment 2208192
Mama siyo sawa na yule muuaji (jiwe)
Uhuru wa watu kutoa maoni yao na kukosoa bila kupigwa risasi. Mishahara kasema atapandisha. Amini yule mungu wako kafa na haturudi tena, pia muda wako wa kuomboleza utumie kutafuta pesa na siyo kulia au kutunza legacy uchwaraElezea sasa kapandisha nini ili tuone tofauti zao ukiacha jinsia.
Uhuru wa watu kutoa maoni yao na kukosoa bila kupigwa risasi. Mishahara kasema atapandisha. Amini yule mungu wako kafa na haturudi tena, pia muda wako wa kuomboleza utumie kutafuta pesa na siyo kulia au kutunza legacy uchwara
Tangu mwaka jana anakokotoa tu... Au hakujua kuna Mei Mosi mwaka huu?mama kapandisha bana acheni ujinga! kasema anakokotoa tu viwango ila nyongeza ipo