Ila umemuelewa?Uraya ndio wapi huko?
Tulia wewe na uchangie mada.Uraya ndio wapi huko?
Sijamuelewa. Ndio maana nimemuuliza😁Ila umemuelewa?
Kwani nani kwa kuambia hapa kuna waandishi wa habari wasio penda uteuzi? Tatizo ni wewe kama unaona Mauleed kitengi ndo muandishi wa habariKuna Habari kuwa wakuu wa vyombo vya ulinzi wamekuwa wa kilipwa mamiliioni ya dollars na makapuni makubwa ya uchimbaji wa madini. Ili vyombo hivyo vifanye kazi ya kuhakikisha makapuni hayo hayasumbuliwi na yoyote. Sasa najiuliza unaweza je kusema Tanzania Kuna vyombo vya Habari wakati Habari kama hiyo in andikwa uraya, wakati magazeti ya Tanzania yamejaza kurasa zake za mbele Habari za teuzi?
Hivi vya Huku ni vya kusifia chama chawala na habari za udakuKuna Habari kuwa wakuu wa vyombo vya ulinzi wamekuwa wa kilipwa mamiliioni ya dollars na makapuni makubwa ya uchimbaji wa madini. Ili vyombo hivyo vifanye kazi ya kuhakikisha makapuni hayo hayasumbuliwi na yoyote. Sasa najiuliza unaweza je kusema Tanzania Kuna vyombo vya Habari wakati Habari kama hiyo in andikwa uraya, wakati magazeti ya Tanzania yamejaza kurasa zake za mbele Habari za teuzi?
Alikuwa anamaanisha viazi uraya, wengine mnaita viazi mviringo.Uraya ndio wapi huko?
Oya huyo dogo hajambo?Alikuwa anamaanisha viazi uraya, wengine mnaita viazi mviringo.
Na ndiyo lengo la ku shallow elimu ili wadeepen ubadhirifu
Uraya ya kwamtogolehabari kama hiyo inandikwa uraya,