Magazeti ya Tanzania yamejaza kurasa zake na habari za teuzi

Magazeti ya Tanzania yamejaza kurasa zake na habari za teuzi

Kuna Habari kuwa wakuu wa vyombo vya ulinzi wamekuwa wa kilipwa mamiliioni ya dollars na makapuni makubwa ya uchimbaji wa madini. Ili vyombo hivyo vifanye kazi ya kuhakikisha makapuni hayo hayasumbuliwi na yoyote.

Sasa najiuliza unaweza je kusema Tanzania Kuna vyombo vya Habari wakati habari kama hiyo inandikwa uraya, wakati magazeti ya Tanzania yamejaza kurasa zake za mbele Habari za teuzi?
Ilishatoka hii habari hivi karibuni.

Vyombo hivyo vya usalama vimetumia utaalam wake kuzima hizo taarifa zisiwe mjadala muhimu hapa nchini.

Wenye akili tunajua namna nchi inavyoumizwa
 
Bongo sisi tuna aina za habari tunazopenda labda kama upo tofauti sikiliza bbc dw aljazeera unaweza pata mengineyo ila hizi za kina miladi ayo sjui tbc na wajinga wengine wote huwez kuta habari kama hizi
 
Back
Top Bottom