Magazeti yote ya leo hakuna lililoandika habari za Waraka wa TEC

Mie nitaugawa katika vijiwe vya bodaboda na bajaji. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wahariri wamekosa kujiamini, na wanashusha thamani ya vyombo na hisa zao za makampuni.
 
Hiyo nayo ni Habar ya mpaka kuandika. Kikosi cha wezi wa Escrow wanatoa tamko na yenyewe iwe habar ya maaana
 
Magazeti yamepigwa mkwara na Yule juha wa mtama yamefyata kia
 
Hiyo nayo ni Habar ya mpaka kuandika. Kikosi cha wezi wa Escrow wanatoa tamko na yenyewe iwe habar ya maaana
Leo hulali, kuna kitu kimekukaba kutoka kwenye waraka huu
 
August Imekuwa Ngumu Na Chungu Hasa Kuhusu Dubai Port World
Tutaficha Wapi Sura Zetu, Ila Sasa Jambo Limezua Jambo
Magazeti Hayajaandika Lolote Kuhusu Waraka Wa TEC

Sasa TEC Wenyewe Wameupeleka Huo Waraka Sehemu Ambako Gazeti Haliwezi Kufika
Na Endapo Gazeti Likifika Ni Baada Ya Mwezi Na Wananchi Hawawezi Kulinunua
TEC Wao Wana Vishwambi Wamerushiana Tanzania Yote Haa Haa

Waraka umefika Leo Jumapili vizuri Hadi ngazi ya shida(jumuiya)
Uzuri wake tumepewa Hadi photocopy ya waraka
Sasa ndio umefika kwenye familia.

Tunasimama na viongozi wetu.
 
Magazeti yamefanya Jambo la msingi Kabisa haya Tec nendeni mkashitaki Vatican
Hatuna hizo za kulalamika nadhani historia hamsomi TEC ilianza kuwa imara hata wakati wa mwalimu.Mbona hamsemi shule ngapi zilitolewa na TEC kuwa public je hamuoni hapo wakristo walidhulumika.
 
Gazeti gani litaandika PUMBA za TEC. These TEC guys are confused and outdated. KAMA TEC wangeandika waraka wa kupinga ushoga na ulawiti wa watoto unaofanywa na mapadri wao ningekuwa mtu wa kwanza kuwapongeza!
Kama nipumba mbona mnajadili?
 
tuna serikali ya hovyo sana
 
Kama adi mzee wa msoga anadiriki kusema mbele ya hadhara kuwa et tuukemee udini wakati watu hawauzungumzii udini tunataka tujue tu vipengere vyamkataba ujue hali sio hali watu wanatumia nguvu kubwa mno duh
 
Serikali haiwezi pambana na wananchi wake,hasa wananchi wakiamua
 
Kanuni kuu ya kuhabarisha ni kuwa, kwa kadri unapozuia habari ya muhimu isiwafikie watu, ndivyo habari hiyo inavyokuwa bidhaa muhimu ya kutafutwa na watu wengi zaidi na mwisho wa siku watu wengi wataipata.
Bangi na gongo ni mfano, nakubaliana na wewe.. makundi ya watsap mengi tu yamsambaza. Na watu wanasoma habari kupitia watsap kuliko magazeti
 
Hapo chacha, watu hawakatai uwekezaji tatizo mkataba kandamizi upande wetu watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…