Magenge ya awamu iliyopita yaligawana tenda za ujenzi wa mradi wa Stiglers wenye thamani ya trilioni 20, wamejaa hofu kuumbuliwa na CAG na Makamba

Tuondolee propaganda zenu hapa tunachotaka kuona bwawa limekamilika. Huyo January si alisema hamna crane ya 25 tonne.
 
Lile zee lilikuwa jizi kumbe!
 
Huyo Kalemani wenu akafie mbali, kkkkenge nyinyi
 
Bajeti ya ujenzi wa Stiglers haizidi trilioni 6 wewe hizo 20 umezitoa wapi??
Inaweza kuwa kweli. Kwasabab Magu hakuaminika kabisa na alikuwa na hulka ya udokozi tangu 1995 iyo inajulikana kabisa na ushahid upo. Mimi naamin siyo 20 tu kalamba na uhakika alikwapua Zaid ya 30. Am sure!
 
January aende wapi? Amewakazia nati etiii, yaani mtanyooka, wizara inasafishwa, mliigeuza sehemu ya kupiga dili zenu
 
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† Ujue mi nilikuwa najua makamba ni mtu smart sana lakini kaniangusha sana, mkuu acha kujidharirisha bhn
 
Unanikumbusha sanamu isiyofanana aliyoichonga kigwangala eti baba wa taifa, jamaa jinga kweli!
 
January aende wapi? Amewakazia nati etiii, yaani mtanyooka, wizara inasafishwa, mliigeuza sehemu ya kupiga dili zenu


Husitochoshe January Amewakazania nati hili apige peke yake na washkaji zake wakina Maharage sio amekaza kwa uzalendo
 
January aende wapi? Amewakazia nati etiii, yaani mtanyooka, wizara inasafishwa, mliigeuza sehemu ya kupiga dili zenu
Wazazi wako wqnakufa kwa umasikini ila wewe umekomaza matakle kumsifia makamba
 
Maana ya utajiri ni subjective, ulitaka Kila mtu awe kama bakhresa?
Angalau uwezeshe hata wazazi wako wamudu milo miwili kwa siku!

Kuliko hivi unakuwa lichawa alafu ni masikini wa kutupwa
 

Ungeweza kuweka ukweli wako bila kuweka figure ya uongo, huo mradi unafika 20t?
 
Trilion 20 si bajet ya nchi kabisa kwa mwaka mzima.hii kandarasi ya hivi ilitangazwa lini maana nawewe unatabia yakufungua nyuzi za uzushi na uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…