Magenge ya awamu iliyopita yaligawana tenda za ujenzi wa mradi wa Stiglers wenye thamani ya trilioni 20, wamejaa hofu kuumbuliwa na CAG na Makamba

Tuondolee propaganda zenu hapa tunachotaka kuona bwawa limekamilika. Huyo January si alisema hamna crane ya 25 tonne.
 
Kwa wasiojua, mmisiri pale ni nyapara, hajengi, hawa Chato dynasty ndio wameji subconstruct .

Magenge ya awamu ya tano yaligawana tenda ya ujenzi wa mradi wa Stiglers, hawa wanaopiga kelele na kumshutumu Waziri Makamba, ni kwamba wameanza kuuona moto, kampuni zao zimeanza kuitwa moja baada ya nyingine kujieleza na kuonyesha jinsi gani wanafata mkataba, na waelezee walipataje tenda.

Mradi huu, kampuni ya Misri haijengi hata tofali moja, waliugawana magenge ya awamu iliyopita, yeye mmisiri mi nyapara tu.

Waziri Makamba anapoanza kuuchimba mradi huu na vikampuni vilivyojipa tenda, wahusika akina Mpina na polepole, wanakuja juu, sio kwamba ni wazalendo, vikampuni vyao vinapokea malipo hewa bila kufanya kazi, na Sasa vinabanwa mbavu.

Namuomba mama apitishe msako na ukaguzi mkali aviondoe, kazi afanye mkandarasi mwenyewe, tuondoe madalali wa kazi, hao ndio wanafanya mradi uwe na gharama kubwa.

Na wooote ni Chato dynasty.

Makamba, pondaponda hao wapiga dili, Tina imani na wewe.

Wakikomaa sana, CAG aende pale, atoe taarifa kwa kuvianika vikampuni uchwara vilivyojipa tenda Stiglers .
Lile zee lilikuwa jizi kumbe!
 
chinembe kichwani mwake kajaza mavi badala ya ubongo, hivyo mavi yamegawanyika ktk sehemu mengine magumu mengine laini, yake magumu yakichachamaa akili ina mruka. January ni muadilifu sana na nina mtetea kwa 100%. Tatizo lilianzia kwa Mama, hakupaswa kumtoa Kalemani kwa vijembe, alipaswa January ampeleke wizara nyigine au angemhamisha tu Kalemani kama alivyofanya kwa Dotto (hili jamaa lilikuwa jinga sana), lakini katumbuliwa wala hakuna kelele. Kwa sasa Mama akitaka aupige mwingi, January ampeleke Ikulu kama kipindi cha JK na wizara ya Nishati amtoe hata mtu toka Zanzibar ambaye kabisa watu hawamjui. Tena angeweza hata kumteua Mh. Jamal Kassim, former finance minister.
Huyo Kalemani wenu akafie mbali, kkkkenge nyinyi
 
Bajeti ya ujenzi wa Stiglers haizidi trilioni 6 wewe hizo 20 umezitoa wapi??
Inaweza kuwa kweli. Kwasabab Magu hakuaminika kabisa na alikuwa na hulka ya udokozi tangu 1995 iyo inajulikana kabisa na ushahid upo. Mimi naamin siyo 20 tu kalamba na uhakika alikwapua Zaid ya 30. Am sure!
 
chinembe kichwani mwake kajaza mavi badala ya ubongo, hivyo mavi yamegawanyika ktk sehemu mengine magumu mengine laini, yake magumu yakichachamaa akili ina mruka. January ni muadilifu sana na nina mtetea kwa 100%. Tatizo lilianzia kwa Mama, hakupaswa kumtoa Kalemani kwa vijembe, alipaswa January ampeleke wizara nyigine au angemhamisha tu Kalemani kama alivyofanya kwa Dotto (hili jamaa lilikuwa jinga sana), lakini katumbuliwa wala hakuna kelele. Kwa sasa Mama akitaka aupige mwingi, January ampeleke Ikulu kama kipindi cha JK na wizara ya Nishati amtoe hata mtu toka Zanzibar ambaye kabisa watu hawamjui. Tena angeweza hata kumteua Mh. Jamal Kassim, former finance minister.
January aende wapi? Amewakazia nati etiii, yaani mtanyooka, wizara inasafishwa, mliigeuza sehemu ya kupiga dili zenu
 
😆 😆 😆 😆 Ujue mi nilikuwa najua makamba ni mtu smart sana lakini kaniangusha sana, mkuu acha kujidharirisha bhn
 
Unanikumbusha sanamu isiyofanana aliyoichonga kigwangala eti baba wa taifa, jamaa jinga kweli!
 
January aende wapi? Amewakazia nati etiii, yaani mtanyooka, wizara inasafishwa, mliigeuza sehemu ya kupiga dili zenu

Husitochoshe January Amewakazania nati hili apige peke yake na washkaji zake wakina Maharage sio amekaza kwa uzalendo
 
January aende wapi? Amewakazia nati etiii, yaani mtanyooka, wizara inasafishwa, mliigeuza sehemu ya kupiga dili zenu
Wazazi wako wqnakufa kwa umasikini ila wewe umekomaza matakle kumsifia makamba
 
Maana ya utajiri ni subjective, ulitaka Kila mtu awe kama bakhresa?
Angalau uwezeshe hata wazazi wako wamudu milo miwili kwa siku!

Kuliko hivi unakuwa lichawa alafu ni masikini wa kutupwa
 
Kwa wasiojua, mmisiri pale ni nyapara, hajengi, hawa Chato dynasty ndio wameji subconstruct .

Magenge ya awamu ya tano yaligawana tenda ya ujenzi wa mradi wa Stiglers, hawa wanaopiga kelele na kumshutumu Waziri Makamba, ni kwamba wameanza kuuona moto, kampuni zao zimeanza kuitwa moja baada ya nyingine kujieleza na kuonyesha jinsi gani wanafata mkataba, na waelezee walipataje tenda.

Mradi huu, kampuni ya Misri haijengi hata tofali moja, waliugawana magenge ya awamu iliyopita, yeye mmisiri mi nyapara tu.

Waziri Makamba anapoanza kuuchimba mradi huu na vikampuni vilivyojipa tenda, wahusika akina Mpina na polepole, wanakuja juu, sio kwamba ni wazalendo, vikampuni vyao vinapokea malipo hewa bila kufanya kazi, na Sasa vinabanwa mbavu.

Namuomba mama apitishe msako na ukaguzi mkali aviondoe, kazi afanye mkandarasi mwenyewe, tuondoe madalali wa kazi, hao ndio wanafanya mradi uwe na gharama kubwa.

Na wooote ni Chato dynasty.

Makamba, pondaponda hao wapiga dili, Tina imani na wewe.

Wakikomaa sana, CAG aende pale, atoe taarifa kwa kuvianika vikampuni uchwara vilivyojipa tenda Stiglers .

Ungeweza kuweka ukweli wako bila kuweka figure ya uongo, huo mradi unafika 20t?
 
Trilion 20 si bajet ya nchi kabisa kwa mwaka mzima.hii kandarasi ya hivi ilitangazwa lini maana nawewe unatabia yakufungua nyuzi za uzushi na uongo.
 
Back
Top Bottom