Magereza wakana kumsukuma Lissu mahakamani

Kuna vitu vingine kama huna jibu bora kukaa kimya.
Yaani picha zili onyesha tukio live hadi walio kuwa karibu kupiga kelele nyie mabwana jela mna kana. Lakini sishangai maana hata polisi wana tabia ya kukana hata mambo yaliyo wazi.
Ni tabia ya viongozi wa serikali ya Ccm
 
Mageleza mnatia aibu, na hayo makofia ya kininja ( kihuni) na yenyewe yana maana ipi mahakamani?
Wangejibu na swala la kuvaa hayo makofia ya kijambazi sehemu ya mahakama.
 
Yule Mkuu wa Magaereza alifukuzwa kazi kwenye kikao sijui alichelewa na Magufuri kwa mambo mnayofanya ndio maana mnadharaulika ila ninyi mnaona mpo sawa..
 
Tulitarajia watakanusha,kwa hiyo hakuna cha ajabu.Kukanusha haina maana jambo halijatokea
 
Hata rais wa Zambia alinyiwa yote haya ipo siku
 
Kisiasa Lisu yuko sawa MKT wa ccm je angekuwa mwenyekiti huyu yuko kizimbani angemsukuma vile? Kwa nini viongozi wa kisiasa wasiheshmiwe kuwa sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…