Mageuzi 10 ndani ya Serikali ya Rais Samia yanayo badili sura ya Tanzania Kimataifa

Mageuzi 10 ndani ya Serikali ya Rais Samia yanayo badili sura ya Tanzania Kimataifa

Rais Samia Suluhu ni mzalemdo hata kama hajabadilisha sheria lakini anasimamia izo sheria zilizopo na anasimamia haki za nchi na wananchi na kuusu suala la katiba mpya alisema atalifanyia kazi kwaiyo ipo onprocess
Ni muhimu akaenda kwenye mambo ya msingi: Katiba mpya, kubadilisha sheria, na kuweka mifumo inayomzuia Rais na viongozi wengine kutokufuata sheria na kanuni, kama ilivyotokea wakati wa awamu ya 5.
 
Back
Top Bottom