Magharibi walitudanganya kuhusu demokrasia, Trump kama Lissu TU.

Ubaya wa demokrasia Nini?

Ukiwauliza wanaoponda demokrasia watuambie ni mfumo Gani unatufaa kutawala siasa na uchumi hawana majibu

Watawala wengi wa dunia wa zama hizi huchipua na kustawi kwa kupitia demokrasia wakifika juu wakanogewa wakaanza kuiba huanza kuiponda na kuikataa demokrasia

Mfano ni magufuli
Hakuna demokrasia duniani ila Kuna haki na kutii mamlaka iliyopo baaasi. Na mamlaka kama haitendei haki watu wake inapaswa kuondolewa na raia ambae hatii mamlaka na kujali haki za wengine lazima ahukumie.
 
Na bado tunalishwa upuuzi kuamini kwamba duniani ipo demokrasia ya kweli, bila kujua kwamba upinzani na watawala wote wanamtumikia master mmoja.
Duniani kote Kuna kitu kinaitwa "survival of the fittest" mwenye nguvu mpishe. Na hii ni kwa viumbe wote. Hata majogoo ni lazima wajuane ni nani ana nguvu kabla ya kuruhusiwa kutembea na mitetea.
 
Hakuna demokrasia duniani ila Kuna haki na kutii mamlaka iliyopo baaasi. Na mamlaka kama haitendei haki watu wake inapaswa kuondolewa na raia ambae hatii mamlaka na kujali haki za wengine lazima ahukumie.
Shule yako ndogo kijana
kubishana nawe ni kupoteza muda tu

Kukusaidia tu ni hivi Haki ni component mojawapo ya demokrasia
 
Kwani demokrasia yenyewe imesokea wapi??

Kama demokrasia ni kitu kizuri nadhani tuige na tuiendeze kuwazidi wao ili huko mbeleni waje kujifunza kwetu

Akili za kiafrika zinawaza na kinasa mambo mabaya tu

Bado mna akili mgando nyie maccm
Maccm ni ya hovyo sana!
 
Duniani kote Kuna kitu kinaitwa "survival of the fittest" mwenye nguvu mpishe. Na hii ni kwa viumbe wote. Hata majogoo ni lazima wajuane ni nani ana nguvu kabla ya kuruhusiwa kutembea na mitetea.
Unafikiri Hiyo kanuni yako ya survival for the fittest tukiiapply vilivyo we utaweza kupata bando la kupost upuuzi hapa
 
Uzi tayari
Mnajidanganya kama kasuki kuhusu demokrasia ya magharibi. Mbona wao wanapigana risasi na kuibiana matokeo ya uchaguzi? Hukusikia wakiwalaumu Urusi kusaidia kuiba matokeo?
 
Hiyo ndio itakayoleta uwiano halisi uliokididiwa kwa asiyefanya kazi na asile. Kwani viumbe wengine wanafanyaje huko porini?
 
Not to entertain to your shallow comparison of Trump and Lissu.

Notheless hypothetically suppose both attempts were planned by the security apparatus; the motives can’t be the same.

Lissu ni ropo ropo tu ambae hajui mipaka ya kuchunga bakuli lake on where to draw the line on national security matters. Ilifikia hatua akawa kero (huo ndio uhalisia) sasa if he deserved the assassination attempt or not is another debate.

Nonetheless Lissu was becoming a nuisance at the time, on matters of national security you don’t discourage the government or else you are an enemy of the state (ni wapumbavu tu ndio watatatea ujinga wa Lissu kipindi kiłę), either Magufuli was right or wrong. You don’t discourage the government initiatives publicly huo ndio uhalisia duniani.

Donald Trump is a different problem, he is just exploiting demagoguery politics to win votes. But unlike our civil services, theirs actually has an agenda to run a country and Trump during is leadership caused a lot of headache to the civil services strategies amongst those; KORUS trade deal, because of his abrupt decision making put US foreign policy on ‘head snapping policy’, refused to use terms such as ‘axis of evil’ to Kim Jong Un, dint listen to advise on Libya model’ denuclearisation, dint listen on experts advise to push Russia to get back into INF Treaty, New start agreement, proliferation of weapons of mass destruction; to name a few things on how security services can’t bear this man.

Lissu na Trump ni watu wawili tofauti, kwa akili ndogo tu; Lissu ni mtu anaelipwa na wazungu kuropoka bila ya kujua malengo ya wanaomtuma he is just shallow (ndio ukweli wenyewe).

Zaidi soma kitabu cha ‘John Bolton’ the room where it happened, uone namna ambavyo hata public declared republicans civil servants wanavyodhani huyo mtu ni shida kwao.

Whereas Lissu ni ‘ropo ropo’ anaetumiwa bila ya kujua mipaka yake.
 
Ni wapumbavu, hawana demokrasia, wanatudanganya sisi mazuzu TU. Trump walitaka kumuua kama vile Lissu walivyotaka kumuua hapa. Akili kichwani

View: https://youtu.be/PvyYcx0YKLo?si=c35U2vk62XKMcN1k

Nakuunga mkono kwa asilimia 100%. Tena hawa Marekani wale wametuzidi kwani Trump ni rais mstaafu halafu ni mgombea urais akiwa kwenye kampeni ya urais akamiminiwa risasi kichwani.

Sisi Tundu Lissu alikuwa mbunge tu wa kawaida akitoka bungeni na akamiminiwa risasi miguuni alipofika kwenye makazi yake.
 
Kama demokrasia inafanyakazi basi anzia kwenye familia Yako kwanza ili uone matokeo yake. Mtoto anakwambia hataki kwenda shule unamwambia sawa, anagoma kumeza dawa ya malaria unamwambia sawa, hataki kula unamwambia sawa, anarudi usiku wa manane unamwambia sawa mwanangu, hataki kufanya homeworks za shuleni unamwambia sawa TU, anavuta taulo ulilovaa kutoka kuoga unamwambia sawa.
Ndivyo ulivyoilewa demokrasia??
 
Not to entertain to your shallow comparison of Trump and Lissu.

Notheless hypothetically suppose both attempts were planned by the security apparatus; the motives can’t be the same.

Lissu ni ropo ropo tu ambae hajui mipaka ya kuchunga bakuli lake on where to draw the line on national security matters. Ilifikia hatua akawa kero (huo ndio uhalisia) sasa if he deserved the assassination attempt or not is another debate.

Nonetheless Lissu was becoming a nuisance at the time, on matters of national security you don’t discourage the government or else you are an enemy of the state (ni wapumbavu tu ndio watatatea ujinga wa Lissu kipindi kiłę), either Magufuli was right or wrong. You don’t discourage the government initiatives publicly huo ndio uhalisia duniani.

Donald Trump is a different problem, he is just exploiting demagoguery politics to win votes. But unlike our civil services, theirs actually has an agenda to run a country and Trump during is leadership caused a lot of headache to the civil services strategies amongst those; KORUS trade deal, because of his abrupt decision making put US foreign policy on ‘head snapping policy’, refused to use terms such as ‘axis of evil’ to Kim Jong Un, dint listen to advise on Libya model’ denuclearisation, dint listen on experts advise to push Russia to get back into INF Treaty, New start agreement, proliferation of weapons of mass destruction; to name a few things on how security services can’t bear this man.

Lissu na Trump ni watu wawili tofauti, kwa akili ndogo tu; Lissu ni mtu anaelipwa na wazungu kuropoka bila ya kujua malengo ya wanaomtuma he is just shallow (ndio ukweli wenyewe).

Zaidi soma kitabu cha ‘John Bolton’ the room where it happened, uone namna ambavyo hata public declared republicans civil servants wanavyodhani huyo mtu ni shida kwao.

Whereas Lissu ni ‘ropo ropo’ anaetumiwa bila ya kujua mipaka yake.
All in all democracy wants people to decide their own destiny, not the bullet. Kama anayoyasema Trump hayafai nenda kaseme hivyo kwenye sanduku la kura siku ya uchaguzi sio kutumia bunduki. Kulazimisha watu wasimpende mtu ni udikteta uliopitiliza, not a democratic way of doing. Ndo maana Trump na watu wengine wa aina yake wanalaumu kuona Amerika inaonekana kufanya mambo kama nchi ya dunia ya tatu (Tanzania, DRC na nyingine), hiyo inamuudhi Trump. Kwani hatma ya Marekani haiko mikononi mwa wamarekani wenyewe? Hakuna demokrasia bwana hata usemeje.
 
Nakuunga mkono kwa asilimia 100%. Tena hawa Marekani wale wametuzidi kwani Trump ni rais mstaafu halafu ni mgombea urais akiwa kwenye kampeni ya urais akamiminiwa risasi kichwani.

Sisi Tundu Lissu alikuwa mbunge tu wa kawaida akitoka bungeni na akamiminiwa risasi miguuni alipofika kwenye makazi yake.
kama unashindwa kumlinda Rais mstaafu na mgombea unaweza kumlinda nani? Usalama wetu ulishindwa kumlinda Lissu na usalama wao ulishindwa kumlinda Trump, what is the difference between developed and developing countries. Tofauti kubwa ni kwamba Trump hakukimbilia kwetu kama vile Lissu alivyokimbilia kwao. hata hivyo tunaweza kumshauli Trump aje ajifiche kwenye mapango yetu huku kama akiona usalama wake hauna guarantied.
 
All in all democracy wants people to decide their own destiny, not the bullet. Kama anayoyasema Trump hayafai nenda kaseme hivyo kwenye sanduku la kura siku ya uchaguzi sio kutumia bunduki. Kulazimisha watu wasimpende mtu ni udikteta uliopitiliza, not a democratic way of doing. Ndo maana Trump na watu wengine wa aina yake wanalaumu kuona Amerika inaonekana kufanya mambo kama nchi ya dunia ya tatu (Tanzania, DRC na nyingine), hiyo inamuudhi Trump. Kwani hatma ya Marekani haiko mikononi mwa wamarekani wenyewe? Hakuna demokrasia bwana hata usemeje.
Hakuna true democracy in the west, kinachotokea ni kiini macho tu otherwise civil services watafanya kila hila achaguliwe mtu wanaeweza fanya nae kazi kwa strategy zao za national security na kumuachia a little room on social policies.

Mtu ambae yupo too far away from national security thinking ashindi uchaguzi hizo nchi zinazodai zina demokrasia miaka 800.

Only that mainstream ‘political parties’ wanajua mipaka yao ndio maana wanaruhusiwa kufanya uchaguzi wa kiini macho.

Lakini hizo nchi sehemu kubwa ya maamuzi yanafanywa na senior civil servants. Ndio maaana nchi nyingi ni ngumu sana mwanasiasa kugusa senior civil servants.

Sio sisi raisi anaweza amka asubuhi moja akasema amtaki katibu mkuu kiongozi, duh nchi kama U.K. PM hana jeuri hiyo wala kuwagusa makatibu wa wizara.
 
All in all democracy wants people to decide their own destiny, not the bullet. Kama anayoyasema Trump hayafai nenda kaseme hivyo kwenye sanduku la kura siku ya uchaguzi sio kutumia bunduki. Kulazimisha watu wasimpende mtu ni udikteta uliopitiliza, not a democratic way of doing. Ndo maana Trump na watu wengine wa aina yake wanalaumu kuona Amerika inaonekana kufanya mambo kama nchi ya dunia ya tatu (Tanzania, DRC na nyingine), hiyo inamuudhi Trump. Kwani hatma ya Marekani haiko mikononi mwa wamarekani wenyewe? Hakuna demokrasia bwana hata usemeje.
Screenshot_20240714-125908_X.jpg
 
Nakuunga mkono kwa asilimia 100%. Tena hawa Marekani wale wametuzidi kwani Trump ni rais mstaafu halafu ni mgombea urais akiwa kwenye kampeni ya urais akamiminiwa risasi kichwani.

Sisi Tundu Lissu alikuwa mbunge tu wa kawaida akitoka bungeni na akamiminiwa risasi miguuni alipofika kwenye makazi yake.
Screenshot_20240714-084806_X.jpg
 
Tofauti ni jaribio la Marekani mtuhumiwa kajukikana na kashauawa.

Sisi waliotaka kumuua Lissu jadi leo hawajulikani na jalada lishafungwa.
 
Back
Top Bottom