Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Very hard leo, sina nchi ya mfano kwakweli.True democracy inakuaje?
Kila sehemu duniani ina kiini macho, ila west asilimia kubwa ya maamuzi ya nchi yanapangwa na senior civil servants.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very hard leo, sina nchi ya mfano kwakweli.True democracy inakuaje?
Sio lazima iwe leo, tupe nchi ya mfano iliyowahi kuwa na true democracy kwa wakati uliopita.Very hard leo, sina nchi ya mfano kwakweli.
Kila sehemu duniani ina kiini macho,
Sidhani kama true democracy imewahi kuwepo duniani.Sio lazima iwe leo, tupe nchi ya mfano iliyowahi kuwa na true democracy kwa wakati uliopita.
Kwa hiyo true democracy ni nini?Sidhani kama true democracy imewahi kuwepo duniani.
Kwa sababu ata huko Greece iipoanzia kulikuwa na matabaka sio kila mtu alikuwa anaweza chagua.
Labda wengine wanaweza kuwa na mifano, but personally sina ushuhuda wa true democracy.
Kanuni kuu ya democracy wengi wape.Kwa hiyo true democracy ni nini?
Vigezo vya true democracy ni vipi?
Nchi itajuaje imefikia true democracy?
Kutokuwepo matabaka ndio true democracy?
Kila mtu akiweza kuchagua, kuanzia mtoto wa mwaka mmoja, wafungwa na wasio raia katika nchi ndio kigezo cha true democracy?
Demokrasia haipimwi hivyo. Mafaili umeyachanganyaMaumivu ya risasi ni yaleyale bila kujali aliyepiga kafa au Yuko hai. Walijaribu kumfungulia kesi Trump ikashindikana, na walijaribu kumfungulia kesi Lissu nae ikashindikana, hivyo wote walitakiwa kunyamazishwa kwa risasi. Tofaiti Iko wapi? Hakuna demokrasia bwana weee hata huko magharibi, ni ujinga TU wametujaza.
Kabla ya jaribio la mauaji kuna kiongozi mkubwa alisema "put Trump in a bull's eye", hata hajaulizwa kwanini alitoa kauli hiyo hatarishi.Aliyepiga risasi amepigwa pale pale na kufa, Lissu CCTV Camera zilienda kufichwa na mageti yaliachwa wazi
Kawandangaye wajinga wenzako, uchaguzi wa Marekanin ni tofauti na wa CCM, mwisho wa kura za Rais huamuliwa na SenetiKabla ya jaribio la mauaji kuna kiongozi mkubwa alisema "put Trump in a bull's eye", hata hajaulizwa kwanini alitoa kauli hiyo hatarishi.
Kwa upande wa demokrasia, Trump mwaka 2016 alipata kura 62,979,879, mama Clinton akapata kura 65,844,954, kura zaidi ya milioni 2.8 kumzidi Trump lakini urais akapewa Trump. Do you call that democracry?
Wenye akili tayari wanajua mimi na wewe mjinga ni nani.Kawandangaye wajinga wenzako, uchaguzi wa Marekanin ni tofauti na wa CCM, mwisho wa kura za Rais huamuliwa na Seneti
Huwezi kuelewa sababu akili ako imekaa kichawa snWenye akili tayari wanajua mimi na wewe mjinga ni nani.
You're too naiveKanuni kuu ya democracy wengi wape.
Definition ya wengi ni adults kwa tafsiri ya nchi.
Shida ya democracy leo unachagua kwa ahadi ambazo jamaa wameahidi kufanya.
Wakishapata hiyo ridhaa wanakuta kuna mambo kubadili sio rahisi vile, kwa nchi zilizoendelea.
Hebu msikie mgombea mwenza wa Trump, JD Vance anachotaka kifanyikeVery hard leo, sina nchi ya mfano kwakweli.
Kila sehemu duniani ina kiini macho, ila west asilimia kubwa ya maamuzi ya nchi yanapangwa na senior civil servants.
Unadhani nyumbu wanakubali kuliwa na simba kila siku? ila wanalazimika tu kwasababu ya survival of the fittest. Hakuna namna yoyote inayolazimisha mtu mvivu aishi kwa jasho la wengine. Hakuna sababu ya kulazimisha mtoto mlemavu aishi, akue, azae na kuzaa walemavu wengine na kutengeneza jumuiya kubwa ya walemavu wasioweza kujitunza wenyewe. Hakuna demokrasia kwenye maisha, ni mwenye nguvu mpishe, la sivyo muondoeni kwa nguvu kama hawafai.Unafikiri Hiyo kanuni yako ya survival for the fittest tukiiapply vilivyo we utaweza kupata bando la kupost upuuzi hapa
Kenya wanajifanya wanataka demokrasia kama ya magharibi, wamedanganywa sana, nchi yao itakuwa masikini sana sana sana sana kama wakiendelea na ujinga huu wa demokrasia. Mahakama kufuta uchaguzi na kurudia uchaguzi kwenye nchi maskini sana ni upuuuzi wa hali ya juu.Sidhani kama true democracy imewahi kuwepo duniani.
Kwa sababu ata huko Greece iipoanzia kulikuwa na matabaka sio kila mtu alikuwa anaweza chagua.
West kwa ujumla wao mpaka 1900 wanawake walikuwa awawezi piga kura.
Not soon after yakaja mambo ya national security na strong civil services. Binafsi sina mfano wa true democracy toka hiyo dhana ianzishwe.
Labda wengine wanaweza kuwa na mifano, but personally sina ushuhuda wa true democracy.
Hii ndio inaonesha bado USA ni Demokratic country tu.Aliyepiga risasi amepigwa pale pale na kufa, Lissu CCTV Camera zilienda kufichwa na mageti yaliachwa wazi
Yap, sasa inaeleweka. Ndio maana watu weusi kwa mamilioni walichukuliwa utumwani na Wazungu na Waarabu kisha baadaye karibu Afrika yote ikageuzwa koloni la Ulaya.Unadhani nyumbu wanakubali kuliwa na simba kila siku? ila wanalazimika tu kwasababu ya survival of the fittest. Hakuna namna yoyote inayolazimisha mtu mvivu aishi kwa jasho la wengine. Hakuna sababu ya kulazimisha mtoto mlemavu aishi, akue, azae na kuzaa walemavu wengine na kutengeneza jumuiya kubwa ya walemavu wasioweza kujitunza wenyewe. Hakuna demokrasia kwenye maisha, ni mwenye nguvu mpishe, la sivyo muondoeni kwa nguvu kama hawafai.
sure sure sure!! nchi ina amani fanya biashara, lima, fuga, vua bila kusubiri kupewa kibali (thubutu) kama wakija kukuhoji wape kidogo waondoke na endelea kusonga mbele (survival spirit). Tumia hiyo pesa kujenga nyumba, kula, kupeleka wanao shule nzuri ili wafanane na watoto wa wenye nguvu. Woga wako ndio kaburi lako na ukoo wako kizazi na vizaziYap, sasa inaeleweka. Ndio maana watu weusi kwa mamilioni walichukuliwa utumwani na Wazungu na Waarabu kisha baadaye karibu Afrika yote ikageuzwa koloni la Ulaya.
Seems hii hulka ya kitumwa ya Waafrika kuabudu na kujilegeza mbele ya wenye nguvu ilianzia tangu enzi hizo. Na sasa inaendelea.
Woga tena ndio kaburi? Nilielewa uoga ndio sababu ya kuepuka mapambano na wenye nguvu ili unufaike na upendeleo na “amani” itakayokuwepo.sure sure sure!! nchi ina amani fanya biashara, lima, fuga, vua bila kusubiri kupewa kibali (thubutu) kama wakija kukuhoji wape kidogo waondoke na endelea kusonga mbele (survival spirit). Tumia hiyo pesa kujenga nyumba, kula, kupeleka wanao shule nzuri ili wafanane na watoto wa wenye nguvu. Woga wako ndio kaburi lako na ukoo wako kizazi na vizazi