Sababu kubwa ya Mbeya kuchelewa kuwa maghorofa.
1.Sheria za mipango miji
Mbeya ni moja ya kati ya miji iliyopitiwa moja kwa moja na bonde la ufa,Ina inaiweka Mbeya kuwa kwenye hatari ya kukumbwa na matetemeko.
Kwahyo sheria za zamani zili
A.Weka ugumu wa vibali vya ujenzi wa Ghorofa
B. Kiwango cha Idadi ya Ghorofa,miaka ya 2000 ilikuwa mwisho ghorofa 3
C.Maghorofa ya kabla ya miaka 2000,yalikuwa lazima yawe na Basements
Uwepo wa ukuaji wa ujenzi kwasasa, sababu inaweza ikawa
A.Kubadilishwa kwa sheria za mpango jiji
B.Uwepo wa mbinu bora za ujenzi
C.Ubora wa matilio wa kuhimili tetemeko
D.Ulegevu wa kufuata sheria
Hizi sheria siyo Mbeya tu, hata Babati zipo,
Dar yenyewe maeneo ya Oysterbay na Victoria sheria za mwanzoni zilikuwa haziruhusu ujenzi wa maghorofa marefu lakini uhitaji ndiyo umeruhusu.