Wewe ni mojawapo ya watu makanjanja ambao mlikariri upuuzi na kumezesha jamii sanjali na kusababisha Jiji letu lisikue inavyostahili,mlitakiwa kucharazwa bakora hadharani.
Ukiacha huo ujinga uliotaja hapo Juu,mlishindwa kabisa kupima kupanga Mji zaidi ya kula Kodi za Bure.Wewe ni mtu wa hovyo kabisa na hukupaswa kuropoka hapa Jukwaani.
Eti tetemeko,njia ya tetemeko imepita Mbeya pekee? Upuuzi.
Mkuu umekaa kisiasa sana, mimi sipo hapa kubeza maendeleo yanayofanywa na Serikali, la hasha.
Ila nakuja kwenye upande ambao ulikuwa haujui na ndiyo maana nimekupa na reference.
1.Maeneo yote ambayo nyufa za bonde zipo karibu na surface sheria zake za ujenzi ni tofauti na mengine.
Mfano: Mbeya,Njombe,Morogoro na Babati.
2.Kwa pale Posta(Dar),sheria za ujenzi kabla ya 2000 zilikuwa haziruhusu jengo lenye urefu wa zaidi ya Ghorofa 7.(By then Kitega uchumi lilikuwa refu)
3.Oysterbay na Masaki ilikuwa haitakiwi jengo la ghorofa la ofisi, ila sasa...
Hii Tunaita building codes na building Zones
Kwa mfano.
1.Kuna maeneo yapo maalum kwa viwanda, hapo Mbeya ni pale Iyunga upande...wa Tazara,SBL na TBL
2.Kuna maeneo yametengwa kwa ajili ya Nyumba za Ghorofa tu.
Mfano.Dar eneo la Mbweni Teta, na hata Dodom lipo eneo.
3.Kuna maeneo hairuhusiwi kuwa na Shamba.
Mfano:Ndani ya Jiji la Dar es Salaam hairuhusiwi kuwa na mashamba.