ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sawa lakini haizuii watu kujenga magorofa na kupata pesa ππMji unaoongoza kwa squatters wengi. Ni wa HOVYO mno, bora kuanzisha mji mpya kabisaaaa. Nakubaliana na aliyesema Mbeya ni Kijiji Kikubwa!!!
Hizo sio sababu za msingiSababu kubwa ya Mbeya kuchelewa kuwa maghorofa.
1.Sheria za mipango miji
Mbeya ni moja ya kati ya miji iliyopitiwa moja kwa moja na bonde la ufa,Ina inaiweka Mbeya kuwa kwenye hatari ya kukumbwa na matetemeko.
Kwahyo sheria za zamani zili
A.Weka ugumu wa vibali vya ujenzi wa Ghorofa
B. Kiwango cha Idadi ya Ghorofa,miaka ya 2000 ilikuwa mwisho ghorofa 3
C.Maghorofa ya kabla ya miaka 2000,yalikuwa lazima yawe na Basements
Uwepo wa ukuaji wa ujenzi kwasasa, sababu inaweza ikawa
A.Kubadilishwa kwa sheria za mpango jiji
B.Uwepo wa mbinu bora za ujenzi
C.Ubora wa matilio wa kuhimili tetemeko
D.Ulegevu wa kufuata sheria
Hizi sheria siyo Mbeya tu, hata Babati zipo,
Dar yenyewe maeneo ya Oysterbay na Victoria sheria za mwanzoni zilikuwa haziruhusu ujenzi wa maghorofa marefu lakini uhitaji ndiyo umeruhusu.
Hakunaga planning nchi hii kaangalie hata miji midogo inayokua haijapangwa.Urban planning hapo mbeya.is poor pangeni mji wenu then mjenge hayo magorofa
Tembelea Old Boma pale kivukoni,Jengo la Jiji.Hizo sio sababu za msingi
Huu ndo mji wa Mbeya ni tofauti sana ukikutana na vijana wa Mbeya utadhania wanatokea mji wa maana kumbe wanatoka kwenye kijiji cha ajabu kabisa! Hii Mbeya inazidiwa na Mtaa wa Nyegezi hapo Mwanza!MBEYA ndio hyo kwenye picha !? Daah Tz tuko nyuma sana aseeh nlkuwa najua Mbeya labda ni km Arusha au Mwanza au niende nikakuone kwa macho
Picha atolee wapi wakati katoa uongo hapaPicha picha???
Binafsi naona kuwa maendeleo ni upatikanaji wa huduma ya afya kwa gharama nafuu kwa wananchi, upatikanaji wa umeme wa uhakika na upatikanaji wa chakula kwa bei ya chini kabisa kwa mlaji ambaye ni mwananchi wa kawaida. Kama unapima maendeleo kwa kuangalia maghorofa nadhani bado hujui maana ya maendeleo.Kuna haja ya kuona na kupongezwa juhudi za makusudi za viongozi wetu hasa mheshimiwa Samia na Tulia.
Wananchi wa jiji la Mbeya tunaona uchumi wa mkoa wetu unakuwa Kwa kuangalia hata miundo mbinu.
Tunaona sekta ya ujenzi hususani nyumba Bora, nzuri zinaongezeka Kwa Kasi awamu hii.
Wito wangu wafanyabiashara tuendelee kuwezekeza Mbeya, pesa IPO.
Bado majengo na miundombinu mzuri inahifajika tu! Mfano Mbeya hapo mtu yeyote anaona miyeyusho na kukuna la maana!Binafsi naona kuwa maendeleo ni upatikanaji wa huduma ya afya kwa gharama nafuu kwa wananchi, upatikanaji wa umeme wa uhakika na upatikanaji wa chakula kwa bei ya chini kabisa kwa mlaji ambaye ni mwananchi wa kawaida. Kama unapima maendeleo kwa kuangalia maghorofa nadhani bado hujui maana ya maendeleo.
Inasikitisha sana na wapuuzi wanazidi kuzaliwa kila siku hapa TZHakunaga planning nchi hii kaangalie hata miji midogo inayokua haijapangwa.
Wahusika hawajui kama ipo siku itakuja kuwa majiji makubwa.
Nchi imejaa wapuuzi wengi sana hii.
Mkuu ili kuona watu wa mahali Fulani Wana maendeleo Kuna mambo mengi ya kuangalia mojawapo likiwa makazi ya watu, mavazi, vyakula, huduma za kijamii kama umeme, maji afya, ELIMU, nk. Dar es salaam haiwezi kuwa sawa na London hata Kwa kuangalia majengo.Binafsi naona kuwa maendeleo ni upatikanaji wa huduma ya afya kwa gharama nafuu kwa wananchi, upatikanaji wa umeme wa uhakika na upatikanaji wa chakula kwa bei ya chini kabisa kwa mlaji ambaye ni mwananchi wa kawaida. Kama unapima maendeleo kwa kuangalia maghorofa nadhani bado hujui maana ya maendeleo.
Mko nyuma kulinganisha na wapi? Kwani hata usipokuja kupaona inapunguza kipi Kwa Wana Mbeya?MBEYA ndio hyo kwenye picha !? Daah Tz tuko nyuma sana aseeh nlkuwa najua Mbeya labda ni km Arusha au Mwanza au niende nikakuone kwa macho
Kwani hiyo miundombinu mizuri haijengwi? Tunaojua Mbeya ya zamani na Sasa ndio tunakwambia Mbeya inakua Kwa Kasi sana kuanzia viwanda Hadi Majengo.Bado majengo na miundombinu mzuri inahifajika tu! Mfano Mbeya hapo mtu yeyote anaona miyeyusho na kukuna la maana!
Pale mwana Mwanza anapoumia kuona Jiji la Mbeya linazidi kukimbia.Huu ndo mji wa Mbeya ni tofauti sana ukikutana na vijana wa Mbeya utadhania wanatokea mji wa maana kumbe wanatoka kwenye kijiji cha ajabu kabisa! Hii Mbeya inazidiwa na Mtaa wa Nyegezi hapo Mwanza!
Huu mji ndo tafsiri yenyewe ya ujinga na umasikini wa Watanzania kwa kuuita jiji wakati ni hovyo kabisa!
Wewe ni mojawapo ya watu makanjanja ambao mlikariri upuuzi na kumezesha jamii sanjali na kusababisha Jiji letu lisikue inavyostahili,mlitakiwa kucharazwa bakora hadharani.Tembelea Old Boma pale kivukoni,Jengo la Jiji.
Pale kuna gallery itakuonesha baadhi ya sheria za mipango miji ya jiji la Dar es Salaam.
Na kuhusu Mbeya ,mi nimekaa hapo kwa miaka mi5 na mwana taaluma wa tasnia ya Ujenzi.
Sijaandika ili kubishana ila nimewajuza tuu baadhi ya vitu na wala sijaweka siasa
Sasa hapo kuna maajabu gani? Hiyo ni hospital ya mkoa wa Mwanza! Mbeya mkubali tu nyinyi bado sana kwa Mwanza!Pale mwana Mwanza anapoumia kuona Jiji la Mbeya linazidi kukimbia.
Bado hamjasema πView attachment 2919397View attachment 2919398View attachment 2919399
Hamna hospital yeyote hapo Mwanza yenye hadhi ya hii hapa πSasa hapo kuna maajabu gani? Hiyo ni hospital ya mkoa wa Mwanza! Mbeya mkubali tu nyinyi bado sana kwa Mwanza!View attachment 2919408
Wewe unavuta bangi tu hapo hamna hospital ni hayo majengo ya Magufuli hata Mtwara walijenga! Angalia hiyo link ulinganishe na ujinga huo!Hamna hospital yeyote hapo Mwanza yenye hadhi ya hii hapa πView attachment 2919433
Kama Hotel Fulani hivi π₯π₯