Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
N.B:USIFANYE KWA MAGAZIJUTO
1-chukua mwezi uliozaliwa kisha zidisha kwa 5
2-chukua jibu ulilolipata kisha jumlisha na 7
3-zidisha kwa 4 katika jibu ulilolipata
4-jumlisha kwa 13 katika jibu ulilolipta
5-zidisha kwa 5 katika jibu ulilolipata
6-jumlisha trh yako ya kuzaliwa kwenye jibu ulilolipata
comment jibu lako la mwisho ulilolipata zen utatajiwa trh yako na mwezi uliozaliwa
Calculations zinaonyesha bado hujazaliwa
January 1
N.B:USIFANYE KWA MAGAZIJUTO
1-chukua mwezi uliozaliwa kisha zidisha kwa 5
2-chukua jibu ulilolipata kisha jumlisha na 7
3-zidisha kwa 4 katika jibu ulilolipata
4-jumlisha kwa 13 katika jibu ulilolipta
5-zidisha kwa 5 katika jibu ulilolipata
6-jumlisha trh yako ya kuzaliwa kwenye jibu ulilolipata
comment jibu lako la mwisho ulilolipata zen utatajiwa trh yako na mwezi uliozaliwa
sawa mtabiri, je unaweza kujua nina watoto wangapi...?
August 12
Wanafunzi wa Dajal
We vipi! kwani leo ni tarehe 1/4