[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dear huoni kuomba radhi kwako kunaweza kunipotezea thread yangu?!..
Usiombe radhi ki-rahisi hivyo ili kumfurahisha fulani, kama sio utamaduni wako..
Kwema kaka..b chinise karusha bomu tena kwa ladyajSawa
Vipi kwema lakini mkuu
Alhamdullilah huku kwetu ni kwema,tunateseka tu na kimvua mvuaWow!!
Yaani nilijua tu mwishoe mtakuwa marafiki
Vipi kwema lakini mkuu
Kwaiyo wewe thread ni bora zaidi kuliko laana nnazolaaniwa [emoji2] [emoji2] nadhani nikiokota makopo ndio utafurahiDear huoni kuomba radhi kwako kunaweza kunipotezea thread yangu?!..
Usiombe radhi ki-rahisi hivyo ili kumfurahisha fulani, kama sio utamaduni wako..
Hahahahaha!!jamaa hataki mtanange uishe HahahahaKwema kaka..b chinise karusha bomu tena kwa ladyaj
Yaani huyu mtani wako ana vituko balaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwaiyo wewe thread ni bora zaidi kuliko laana nnazolaaniwa [emoji2] [emoji2] nadhani nikiokota makopo ndio utafurahi
Kabsaa, mechi iendelee, tumfaidi black chineseHahahahaha!!jamaa hataki mtanange uishe Hahahaha
Wacha muvi iendelee maana hamna namna sasa mkuu.
Au unasemaje QUIGLEY?
Dear, laana za binadamu hazina madhara iwapo utazipuuza..Kwaiyo wewe thread ni bora zaidi kuliko laana nnazolaaniwa [emoji2] [emoji2] nadhani nikiokota makopo ndio utafurahi
Hiyo ni neema iliyotukuka niynyi kuteseka na kimvua mvua maana huku kwetu GAMBOSHI hata tone la mvua ni hamna aiseee LadyAJAlhamdullilah huku kwetu ni kwema,tunateseka tu na kimvua mvua
Hii kali nayoDear, laana za binadamu hazina madhara iwapo utazipuuza..
Poleni sana MkuuHiyo ni neema iliyotukuka niynyi kuteseka na kimvua mvua maana huku kwetu GAMBOSHI hata tone la mvua ni hamna aiseee LadyAJ
Acheni uloziHiyo ni neema iliyotukuka niynyi kuteseka na kimvua mvua maana huku kwetu GAMBOSHI hata tone la mvua ni hamna aiseee LadyAJ
Akhsante sana mkuuPoleni sana Mkuu
Ilikuwaga zamani ila siku hizi hakuna ulozi huku mkuu QUIGLEYAcheni ulozi
Sio rahisi kivile, asili ni ngumu kufa, imefanyika sehemu ya maishaIlikuwaga zamani ila siku hizi hakuna ulozi huku mkuu QUIGLEY
Khali ya hewa tu imebadirika
Mmmmmh!!Sio rahisi kivile, asili ni ngumu kufa, imefanyika sehemu ya maisha
Fuatilia uzi vizuriMmmmmh!!
Sijaona comment yako yakutaka kununua QFL magodoro black chinese.
Vipi mkuu?
We mwenyewe ni laana kwangu maana isingelikua hii MIGORO YAKO nisingelaaniwa kwa kweli [emoji2] [emoji2] [emoji2] nakuogopaDear, laana za binadamu hazina madhara iwapo utazipuuza..
Aaaaaah, huyo ni mtani wako bhana usimwogopeWe mwenyewe ni laana kwangu maana isingelikua hii MIGORO YAKO nisingelaaniwa kwa kweli [emoji2] [emoji2] [emoji2] nakuogopa