INAUZWA Magodoro mawili 5×6 yanauzwa..

INAUZWA Magodoro mawili 5×6 yanauzwa..

Dear huoni kuomba radhi kwako kunaweza kunipotezea thread yangu?!..
Usiombe radhi ki-rahisi hivyo ili kumfurahisha fulani, kama sio utamaduni wako..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani wewe ni (pimbi) utani mkuu.
Unafaa kuwa mpiga kampeni wa magu..
 
Kwaiyo wewe thread ni bora zaidi kuliko laana nnazolaaniwa [emoji2] [emoji2] nadhani nikiokota makopo ndio utafurahi
Yaani huyu mtani wako ana vituko balaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ume play part yako mkuu
 
We mwenyewe ni laana kwangu maana isingelikua hii MIGORO YAKO nisingelaaniwa kwa kweli [emoji2] [emoji2] [emoji2] nakuogopa
Aaaaaah, huyo ni mtani wako bhana usimwogope
 
We dogo njoo chukua hiyo hela ubaki na magodoro yako tu
 
Back
Top Bottom