INAUZWA Magodoro mawili 5×6 yanauzwa..

Hapana.... ila malezi yako hayakuwa mazuri dear..
Ni maoni yako nayaheshimu, ila Niko so much proud kua Mimi na kupitia kwenye Malezi ya Dr.Hadi mpaka hii Leo nawalea wengine, sijalelewa kua mwoga wa maneno na macho ya watu hivyo we endelea kushupaa tu Mimi nasimama na ninachokiamini na ndivyo ninavyowalea watoto wangu
 
Hapana kaka.. bado tunahitaji mchango wenu katika kuiimarisha thread yetu..
Kumbe haja yako ilikua kuchangamsha fikra zako kwa kua na idadi ya page nyingi hahahahaaa pole sana imetosha sasa tafuta kingine cha maana bila lile neno langu nililoombea radhi hakika usingefika hata page 3
 
Ok.. ngoja basi nifungue thread nyingine ya kuuza majaba.. usikose kuja dear..
 
LadyAJ
 
Kumbe haja yako ilikua kuchangamsha fikra zako kwa kua na idadi ya page nyingi hahahahaaa pole sana imetosha sasa tafuta kingine cha maana bila lile neno langu nililoombea radhi hakika usingefika hata page 3
Sasa auze tv mbovu na kitanda[emoji23]
 
Mhh mbona km yanatisha mkuu
 
Sasa mbona "una-bihevu" kama lilevi la kutupwa mitaroni! Next time be human, kid!
Mmh!! Wakati unaninyooshea kidole kusema neno moja kumbuka una vidole vi 4 vyakutazama, we angalia maisha yako tu inatosha my kindness or rudeness won't change your any thing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…