Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Hahahah,huyu lady kumbe nae ni comedian,..Kwaiyo wewe thread ni bora zaidi kuliko laana nnazolaaniwa [emoji2] [emoji2] nadhani nikiokota makopo ndio utafurahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah,huyu lady kumbe nae ni comedian,..Kwaiyo wewe thread ni bora zaidi kuliko laana nnazolaaniwa [emoji2] [emoji2] nadhani nikiokota makopo ndio utafurahi
Kumbe nna kipaji eeh teh teh teh wengine hatujijuagiHahahah,huyu lady kumbe nae ni comedian,..
Daaah! Ubarikiwe sana kwa ambae hajaelewa naamini hatokaa aelewe maisha yake yote.Mkaushieni huyu jamaa.. mkiendelea kumlaumu mtakuwa mnakufuru Mungu.. hata yeye pamoja na ubongo wake ameumbwa na Mungu huyu huyu ambaye wote tunamwabudu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Nafahamu jinsi watoto walivyo waoga ndo maana tangazo hili nimewawekea watu wazima tu... rudisha simu kwa mama..
[emoji8]Nimekupenda bureeee
Kwani wakati unamnyooshea kidole mtoa mada kuwa anauza MATANDIKO ya MBWA vidole vyako vingine ulijichomeka wapi!Mmh!! Wakati unaninyooshea kidole kusema neno moja kumbuka una vidole vi 4 vyakutazama, we angalia maisha yako tu inatosha my kindness or rudeness won't change your any thing
Watu mnaoishi kwa shemeji zenu mna shida sana.Hivi haya nayo ni magodoroo au matandiko ya mbwa?
Usiingilie visivyo kuhusu, ila ngoja nikujibuKwani wakati unamnyooshea kidole mtoa mada kuwa anauza MATANDIKO ya MBWA vidole vyako vingine ulijichomeka wapi!
Kwani kuna tatizo?Watu mnaoishi kwa shemeji zenu mna shida sana.
Ila wwe jike shupa kuna waya kichwani zitakua zimekatika sio bure maana sio kwa majibu yale[emoji16]Kwani kuna tatizo?
Hakuna atakayebaki milele tuliza mshonoIla wwe jike shupa kuna waya kichwani zitakua zimekatika sio bure maana sio kwa majibu yale[emoji16]
acha dharau hata kma unahic una kitu cha kujivunia, kumbuka utakufa na hutofufuka tena [emoji19]
kama ungejua hilo usingeandika zile shudu zako nahic unadhan hii dunia uliumbiwa ukaemo milele mustareheHakuna atakayebaki milele tuliza mshono
Kelele za chura zisikunyime usingizi, kwann unapapalika na mie eti?kama ungejua hilo usingeandika zile shudu zako nahic unadhan hii dunia uliumbiwa ukaemo milele mustarehe
wwe ndo umepapalika na kumjibu mwenzio upuuzi c heri ungetuliza vimakalio vyako kuliko kuandika trash kama ile[emoji53]Kelele za chura zisikunyime usingizi, kwann unapapalika na mie eti?
Hahahaa haya nimeshajibu so unataka kukata rufaa ama? Go ahead hata kwa Mungu kashtakiwwe ndo umepapalika na kumjibu mwenzio upuuzi c heri ungetuliza vimakalio vyako kuliko kuandika trash kama ile[emoji53]
kajikatie rufaa mwenyewe maana wenzio wanafikiri kwa kutumia kichwa wwe akili zako ziliwekwa kwenye makalioHahahaa haya nimeshajibu so unataka kukata rufaa ama? Go ahead hata kwa Mungu kashtaki
Hahahaha!!Nafahamu jinsi watoto walivyo waoga ndo maana tangazo hili nimewawekea watu wazima tu... rudisha simu kwa mama..
Mimi ni mtoto wa watu, ni mama wa watu, ni mke wa mtu, ni dada wa watu, ni rafiki wa watu, ni adui wa watu, najua imekua ngumu sana kuishi na ukampendeza kila mtu, na haiwezekani kumpendeza kila mtu, hivyo sishangai na wala sishtuki na kuto kupendezwa kwakousidhan wote tunapenda kusoma matakataka yale yan umenikwaza kweli ckutegemea nnavowaheshim wanawake kutakua na kiumbe kama wwe utawachafulia cv