Ina maana CEO raisi analala Kwa tabu Sana 😂, na kuna Muda analala chini kabisa 😂Mwenge unabomoa nchi, tunalala kwa huzuni. Isaya 50:11
Isaya 50:11 BHN
Lakini nyinyi mnaowasha moto, na kujifanyia silaha za mienge, tembeeni kwa mwanga wa moto huo, miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe. Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki: Nyinyi mtalala chini na mateso makali.
Isaya 50:11 SRUV
Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika muali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
JKT wana manpower ya kutosha ila ujuzi mdogo. Investment ikifanyika ya kutosha JKT wana mengi sana ambayo ni bora kushinda taasisi nyingi tu zinazohusika na ujenzi au miradi.Kuna haja ya lazima ya Ku invest kwenye taasisi za serikali zinazo husika na ujenzi na fundi.
Jkt, temesa,vets etc wapewe ujuzi na elimu ya kutumia vifaa vya kisasa Generation ya 6 na wawe up-to-date kwenye New technologies and science,
Mods pia wamekosea...inatakiwa iwe...ITitle ya Uzi mods wamebadilisha tayari 😂
Before: Magogoni Ikulu imeoza, ni bora walivyo amua kuhamia Chamwino
After: Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyo amua kuhamia Chamwino
Ukiambiwa pesa iliyotumika hapo ndio utajuwa tatizo siyo teknolojia wala utaalam, bali tatizo matumbo ya watu hayatosheki.Kuna haja ya lazima ya Ku invest kwenye taasisi za serikali zinazo husika na ujenzi na fundi.
Jkt, temesa,vets etc wapewe ujuzi na elimu ya kutumia vifaa vya kisasa Generation ya 6 na wawe up-to-date kwenye New technologies and science,
Hizi akili za Magufuli ndio mnataka kuwauwa njaa watu wa civil eng wafanye kazi wapi?JKT wana manpower ya kutosha ila ujuzi mdogo. Investment ikifanyika ya kutosha JKT wana mengi sana ambayo ni bora kushinda taasisi nyingi tu zinazohusika na ujenzi au miradi.
Inategemea aina ya habari anazompa kila inapotokea kampigia cm asubuhi,mi nikipigiwa cm na dada wa kazi nashtuka.Nakereka napo msikia isdori mpango eti huwa ana tetemeka akipigiwa simu na IGP asubuhi.
Majengo ya mwarabu yaleIkulu imejengwa na Germany, UK,
Tiles hazisaidi chochote Hapo, huo msingi umeoza Kwa ndani kabisa
Mkuu kuna nini kinaendelea huko Zimbabwe kinachohusisha mwenge?Mwenge unabomoa nchi, tunalala kwa huzuni. Isaya 50:11
Isaya 50:11 BHN
Lakini nyinyi mnaowasha moto, na kujifanyia silaha za mienge, tembeeni kwa mwanga wa moto huo, miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe. Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki: Nyinyi mtalala chini na mateso makali.
Isaya 50:11 SRUV
Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika muali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
Tuuze ya zamaniNdio mkuu, Unataka kusema JE ?
Kivipi mkuu anatetemeka?Nakereka napo msikia isdori mpango eti huwa ana tetemeka akipigiwa simu na IGP asubuhi.
Kwenye manunuzi unakuta zimeongezwa sifuri mbili kabisa. Ccm ni wabaya sana.Tiles za 5900