Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyoamua kuhamia Chamwino

Wavaa kobasi hawachelewi kusema hii πŸ‘† ikulu Mali yao
 
Ufisadi hua ni mfumo na unatengenezwa kwa muda mrefu Sana Ili watu wapigie hela bila kelele kwa kutuandaa kisaikolojia πŸ˜…πŸ˜….... Mkuu nimekusoma, kamateni hizo Tenda za kukarabati ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…