Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyoamua kuhamia Chamwino

Ufisadi hua ni mfumo na unatengenezwa kwa muda mrefu Sana Ili watu wapigie hela bila kelele kwa kutuandaa kisaikolojia πŸ˜…πŸ˜….... Mkuu nimekusoma, kamateni hizo Tenda za kukarabati ikulu
Eti bwana , tunaendaje kwenye Uchaguzi bila kufanya rehabilitation
 
Kwa hio ikulu ni Mali ya wavaa kobasi
Mali ya Taifa.
Hivi kwani kobasi zina shida gani wakati ni utamaduni wa watu?
Au utamaduni wa mzungu ndio mzuri tu kuvaa suti na boots?
Ukitaja wavaa kobasi, mbona hata Yesu was potrayed amevaa kobasi wakati wote.......wavaa kobasi kobasi.....hebu nenda duka la hizo kobasi kaulize bei.
Dharau zingine hazina msingi wakati hata Mungu wako Yesu ni mvaa kobasi.
 
Achana na koti lake, mbona haliko poa tu.
 

Inabidi mtu jasiri atoe maoni uwekwe makumbusho sasa. Tuhamie katika kuelimisha watu ili wajitambue na uhuru uweze kuleta manufaa na maendeleo
 
Ikulu imejengwa na Germany, UK,
Tiles hazisaidi chochote Hapo, huo msingi umeoza Kwa ndani kabisa
Ingekuwa rangi ikiwa hivyo msingi umeoza labda 75% ya Nyumba za Dar zingekuwa za kubomoa....
Nafikiri utafute Elimu zaidi ya Rangi......+ weathering
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…