Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyoamua kuhamia Chamwino

Ingekuwa rangi ikiwa hivyo msingi umeoza labda 75% ya Nyumba za Dar zingekuwa za kuvunja....
Nafikiri utafute Elimu zaidi ya Rangi......+ weathering
Ni kweli nyumba nyingi za dar , ni za kuvunjwa,
Kwa hiyo Rangi iliyowekwa haistaimili jua, na joto, wakati imepakwa Hata miaka 5 haifiki.

Mkuu Bora TU, unyamaze , unaibua mambo mengine
 
Hiyo kuumuka kwa rangi kwenye msingi kwa kule kwetu mchambawima ni kitu cha kawaida. Tumezoea. Una lingine?
Ikulu unaifananisha na nyumba zenu za mchambawima ? Hazina hata certificate approval kutoka Kwa architecture
 
Ni kweli nyumba nyingi za dar , ni za kuvunjwa,
Kwa hiyo Rangi iliyowekwa haistaimili jua, na joto, wakati imepakwa Hata miaka 5 haifiki.

Mkuu Bora TU, unyamaze , unaibua mambo mengine

Mimi sio Engineer ila nilisoma kuwa, a high quality paint can last for about 7 to 10 years when painted exterior; however there are many factors which can alter the life span such as weather, temperature, salinity etc
Sasa kwa Chumvi, na joto la Dar; hata ukipaka rangi yenye ubora kiasi gani; sana sana itabakia na ubora wake kwa miaka mitatu ikizidi minne.
Ninachotaka kusema nikuwa, kilichoharibika pale ni RANGI na sio msingi.....Kwa maana hiyo nyumba nyingi za Dar zina ubora stahiki wanachotakiwa ni kurudia Rangi kila baada ya miaka kadhaa kutegemeana na ubora wa rangi waliyo tumia
 
Enzi hizo hapakuwa na DPM?
 
Yote Kher Tu
 
AU kuna MTU kapewa tender ya ukarabati, katokomea nayo kusiko julikana
 

ITitle ya Uzi mods wamebadilisha tayari πŸ˜‚

Before: Magogoni Ikulu imeoza, ni bora walivyo amua kuhamia Chamwino​

After: Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyo amua kuhamia Chamwino
Msamiati "kuoza " ni kwa ajili ya viumbe hai tu.So hapo wamefanya marekebisho ya lugha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…