Magori uliongea nini Makonda alipoipa KMC milioni 20 kwa kuifunga Yanga?

Magori uliongea nini Makonda alipoipa KMC milioni 20 kwa kuifunga Yanga?

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
makolo mulibwanji
Bwana magori analalamikia timu kuahidiwa pesa zinapoifunga Simba lakinni alikuwa kimya kipindi wananchi tunateseka
nasema hivii watulie dawa iingie



89777760_142383877304969_3098109684704346112_n.jpg
 
Magori si chawa wa MO, Ao sindio walio mshawishi Makonda amkamate Manji na ku mbambikia tuhuma za madawa ya kulevya ili Simba inufaike. Walijua Manji ndio mhimili wa Yanga.

Walijua akipotea Manji Yanga itapotea mazima.
 
Magori si chawa wa MO, Ao sindio walio mshawishi Makonda amkamate Manji na ku mbambikia tuhuma za madawa ya kulevya ili Simba inufaike. Walijua Manji ndio mhimili wa Yanga.
Walijua akipotea Manji Yanga itapotea mazima.
wakasema hadi magufuli aondoke madarakani
 
kazi ya kuisemea timu nyingine c kazi ya magori ,yeye anafanya kazi na majukumu yake kama kiongozi wa club ya Simba . kila mmoja ni jukumu lake kujali maslahi ya timu yake.

Hata ulaya namuona ole analalamikia marefarii kutokutoa penati msimu huu Kwa manutd(anapambania maslahi ya timu yake) hata kama walistahili kupata penati na sio kwann labda Liverpool wasipopewa penati or wakipewa mbona OLE hua haongei ....

Sijui naeleweka ivi au tukaze tu shingo.
 
Magori huwa anaongea kwa hasira kila anapohojiwa...sijui ana stress gani yule mzee
 
BASHITE LEO NAMTETEA:
HAKUAGIZA UTOPOLO WAVUNJWE MIGUU NA PUA KISA MILIONI 20 ALIYOTOA
KAMA WATU WALICHEZA KUNG FU KISA MILIONI 15 WANGEPEWA HIYO 20 SI WANGEKUJA NA VISU KABISA
BIASHARA WALIKOSA NAULI YA DJIBOUT NA PASSPORT 5 YULE JAMAA KAKAUSHA KIMYA HATA WALIPOFUZU HAKUWAPONGEZA , KMC HAWAJAWAHI KUNA MATATIZO YA KINDEZI KAMA HAYO
KULE DODOMA WATU WNACHEZA KWENYE UWANJA ULIOSINYAA KAMA MTU MWENYE KWASHIOKOR HIYO HELA ISIRUDISHWE KWA WAUZA MAGODORO IKAMWAGILIE UWANJA
 
Tunaanzia walipoishia wao. [emoji23] Yani mwaka huu hadi maji waite mma.
Ila sasa maagizo ya kuvunja wachezaji wawili kila mechi mbona mapya tena jameni, hivi hao watu wanafanya hivyo kwa milion 15 tu tena team nzima kugawana mkiwapa milioni 100 si usiku wataenda kuvamia nyumba za wachezaji wa simba kabisa?
 
Na nyinyi tangazeni hadharani hizo zawadi zenu.
Kwanini mnatoa kwa Siri ?
Mna ajenda gani.

Badala ya kuipandisha Timu yenu mnahonga ili Simba Ishuke.
Si mnasema mna timu Bora mwaka huu.
Onesheni basi
 
makolo mulibwanji
Bwana magori analalamikia timu kuahidiwa pesa zinapoifunga Simba lakinni alikuwa kimya kipindi wananchi tunateseka
nasema hivii watulie dawa iingie



View attachment 1959869
Hivi ule mpira wa jana ni vita au mpira maana hata kama ni motisha wachezaji wacheze mpira sio kuumiza wachezaji wenzio vile maana zikitoka kadi vilevile mtakuja kulalamika kwamba watu wanabebwa
 
Back
Top Bottom