Magori uliongea nini Makonda alipoipa KMC milioni 20 kwa kuifunga Yanga?

Simple as that, Nyie si ndio mnajiita timu kubwa basi hizi timu ndogo zikiwafunga au zikitoa draw zitapewa zawadi na motisha kwa jambo lao la kishujaa na hakuna namna ya kulalamika kama nyie mkiwa bora
Tatizo sio kufungwa, ila ni kutuumizia wachezaji muhimu ambao tunawatumia kimataifa kiasi cha kuwabeba hata hao Biashara untd.
Msimu ujao tutachagua timu za kuzibeba hawana shukrani hao niashara.
Hawaiheshimu timu iliyowaonjesha mashindano ya kimataifa.
 
Kikosi kipana mzee, wala usijali
 
kwani Makonda alitumwa na Simba kama Ali Hapialivyotumwa na GSM? Tumia akili bro. Halafu KMC walicheza soka sio kungfu
 
Elimu ni kitu muhimu sana.Kuzungumza vitu kwa hisia ni dalili mojawapo ya ujinga.

Je akina Ruge na Singa Singa nao walikuwa mhimili wa nani?
Mo alipotekwa alikuwa mhimili wa nani?
Magori si chawa wa MO, Ao sindio walio mshawishi Makonda amkamate Manji na ku mbambikia tuhuma za madawa ya kulevya ili Simba inufaike. Walijua Manji ndio mhimili wa Yanga.

Walijua akipotea Manji Yanga itapotea mazima.
 
Acha uongo
 
Back
Top Bottom