Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
wakasema hadi magufuli aondoke madarakaniMagori si chawa wa MO, Ao sindio walio mshawishi Makonda amkamate Manji na ku mbambikia tuhuma za madawa ya kulevya ili Simba inufaike. Walijua Manji ndio mhimili wa Yanga.
Walijua akipotea Manji Yanga itapotea mazima.
Sawa mkuu.kama wewe unavyopambania timu yako ya kolokolo fc hapa
Mkichoka mtuacheSimba ipigwe tu, ndani na nje ya uwanja, ipigwe Hadi huku JF, piga haooooo
Ila sasa maagizo ya kuvunja wachezaji wawili kila mechi mbona mapya tena jameni, hivi hao watu wanafanya hivyo kwa milion 15 tu tena team nzima kugawana mkiwapa milioni 100 si usiku wataenda kuvamia nyumba za wachezaji wa simba kabisa?Tunaanzia walipoishia wao. [emoji23] Yani mwaka huu hadi maji waite mma.
Hivi ule mpira wa jana ni vita au mpira maana hata kama ni motisha wachezaji wacheze mpira sio kuumiza wachezaji wenzio vile maana zikitoka kadi vilevile mtakuja kulalamika kwamba watu wanabebwamakolo mulibwanji
Bwana magori analalamikia timu kuahidiwa pesa zinapoifunga Simba lakinni alikuwa kimya kipindi wananchi tunateseka
nasema hivii watulie dawa iingie
View attachment 1959869