Magu, Mwanza: Rais Samia ashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania, atawazwa kuwa Chifu wa Machifu

Magu, Mwanza: Rais Samia ashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania, atawazwa kuwa Chifu wa Machifu

Corona ya tanzania ni ya ajabu Sana ni kwenye mikusanyiko ya wapinzani pekee ishu ya corona ndo uonekana
 
Mwanza
Septemba 8, 2021

Nukuu Muhimu za Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi zetu.

#SamiaKazini
#KaziIendelee

IMG-20210908-WA0090.jpg


IMG-20210908-WA0089.jpg


IMG-20210908-WA0088.jpg


IMG-20210908-WA0087.jpg


IMG-20210908-WA0086.jpg


IMG-20210908-WA0085.jpg
 
Mama analeta maendeleo na watanzania tunaona, sasa mbona anaogopa wapinzani? Hata NCCR anawaogopa? Hivi NCCR ni wa wakutumia Polisi kweli?

Kazi iendelee.
 
Huyu mama hata akija kuwawekea mabunda ya pesa milangoni mwenu bado mtamchukia tu, chuki si kitu kizuri hata kidogo, inamtafuna mtu taratibu na madhara yake atayapata mwenye chuki na si mchukiwa
 
Back
Top Bottom