Uchaguzi 2020 Magufuli 2020: Jogoo la Shamba linapowika mjini, wa mjini hujaribu kujitutumua!

Hakuna Uchaguzi Mkuu mwepesi kama ule wa 2020!

Hofu yangu ni kujikuta bungeni kuna wabunge wa upinzani wasiozidi 10 baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Kweli maajabu hayataisha huko Tanzania.
Kweli wanufaika na mfumo mbovu wa elimu wa CCM mpo wengi sana
Mwenyekiti wenu anataka kuuzika upinzani.Wewe mwanachama una hofu ya kuwa na wabunge wachache wa upinzani. Hapa napata tabu kutambua nani anamzidi mwenzake kiuhalisia na kiukweli.
Hofu ya kuwa na wapinzani wachache dhidi ya nia ya kuua upinzani.
 
Hakuna Uchaguzi Mkuu mwepesi kama ule wa 2020!

Hofu yangu ni kujikuta bungeni kuna wabunge wa upinzani wasiozidi 10 baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!

Wabunge 10 wengi maana Magufuli hataki hata mmoja, anatumia zile mbinu alizokuwa anatumia alipokuwa mbunge kwani alikuwa anashinda bila kupingwa. Kama tume ya uchaguzi na vyombo vyote vinajiona vina wajibu wa kuifanya ccm ishinde, hapo unategemea nini? Natabiri uchaguzi wa 2020 kuwa na sifa ya wapiga kura wachache sana, kuliko sifa ya ushindi wa kishindo kwa ccm.
 
Kwani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa tulikuwa tunamchagua Rais wa Tanzania?

Rais wa Tanzania ndio anaamua uchaguzi uweje hapa nchini, kama anajali demokrasia wangalau kutakuwa na uchaguzi hata kama wizi utakuwepo. Lakini kama hajali demokrasia na hawezi ushindani ndio uchaguzi unakuwa kituko kama ule wa juzi wa Local government.
 

Ni kweli demokrasia haitolewi kama zawadi bali inabidi uiombe, lakini hiyo demokrasia ikidaiwa kwa mbinde nyie nyie si ndio mabingwa wa kusema amani ya nchi inaharibiwa? Utakuwa mwendawazimu kufananisha hali ya kidemokrasia wakati wa JK na Magufuli. Huenda umeishiwa na hoja.
 

Dunia imnyenyekee Magufuli! Huenda una hoja lakini umekosa maneno sahihi ya kuiwasilisha.
 
Wamekuelewa mkuu. [emoji344][emoji344][emoji344][emoji601][emoji601][emoji601]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulivyo bold haya maneno nilitegemea kuorodhesha katiba ilivyovunjwa moja baada ya jingine wengine tuko huku nanjilinji hatujui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mwanakijiji ubarikiwe maana umeamua kuua inzi kwa nyundo. Ni ukweli usiopingika JPM anatuvusha kutoka pale tulipokuwa na kusonga mbele na waswahili walisema ''asiye na Macho ....... ......... ........ .......''. Atakapomaliza muda wake kwa mwendo huu atakuwa rais bora kuliko wote* iwapo hii kasi itaendelea.

Tumwombe Mwenyezi Mungu amjalie aifikishe hii nchi kwenye nchi ambayo kila Mtanzania mwenye mapenzi mema anaiombea. Nilisikiliza ile speech yake Mwanza mapato ya madini kutoka 191 billions kwa mwaka hadi 600 billions sio mchezo na hapo bado maboresho hayajashika kasi,
its amazing to say the least, an increase of 314% and you haven't even considered other sectors. If these figures were being done in a European Country every creature in the world would have known and you could have seen top broadcasters queuing to have a word with JPM. Then unasikia vikaragosi vinabeza.
 
Kigogo 2014 alipoleta uzushi nchi yote ilizizima kwa furaha, hao waliofurahi, hayo mambo makubwa hawakuyaona??
 
Kwa hiyo akiruhusu demokrasia anaweza kosa hata kura ya mkewe na watoto
Kabisa Mkuu. Akijaribu kuruhusu demokrasia tu, ajiandae KUSHANGAZWA kwenye sanduku la kura.
 
Hakuna Uchaguzi Mkuu mwepesi kama ule wa 2020!

Hofu yangu ni kujikuta bungeni kuna wabunge wa upinzani wasiozidi 10 baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Uchaguzi unakuwa mwepesi, kwa kuwa vyombo vyote vya dola viko upande wenu

Eg. Jeshi la Polisi na TISS
 
Kabisa Mkuu. Akijaribu kuruhusu demokrasia tu, ajiandae KUSHANGAZWA kwenye sanduku la kura.
Huyu mzee ana stress za maisha , ndo shida ya kutokujiandalia future ujanani, siku hizi hana tofauti na bashite
 
Kwa staili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2019 mbona anapata 99.9% tu kiulaini. Lakini akithubutu kuweka uchaguzi fair wa haki bin haki bila figisu, anakwenda na maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…