Kauli zipi?
Kikwete ulikuwa husikii sababu bado mitandao ya kijamii ilikuwa haina nguvu, kama ungekuwa msomaji wa magazeti kama Mwanahalisi au Raia Mwema walikuwa wanaongelea sana kupotea kwa watu na watu kupatikana ufukweni.
Hivi kauli hii ya Nyerere "Tunakuapisha ili usitusaliti........." unajua ina maana gani?
Halafu unasema yalikuwa machache, vipi la Dr Mwakyembe kulishwa sumu, ambayo ili athiri ngozi yake, vipi Kubenea kumwagiwa tindikali bado kuna duka moja la kuuza nguo, lilikuwa maeneo ya Msimbazi boss wake alimwagiwa tindikali au ulikuwa bado hujazaliwa.