MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Sikatai wala sikubaliani na wewe ndugu kuhusu legacy au la ila , natamani ujue kwamba mtanzania anaendeshwa na hisia, katika hisia kuna mtu ataposti tu ili aonekane naye kaposti , mwingine ni vile tu anaona aposti ili aendane na hali ya siku , ila pia mtanzania anaweza asikukubali ila ajifosi kukubali kwakuwa anaona maadhimisho na mambo mengine , ili asionekane, yuko tofauti na wengine , hiyo ndiyo tunasema unafiki, .But yote kwa yote rest easy Magufuli , Allah ampe pumziko lililo jema japo alikuwa na mazuri na mabaya yake ,pasipo kusahau mkamilifu ni mmoja tu , Allah tabarakh watakhaalah.