VON BISMACK ni Mungu gani unamuongelea hapa? Labda mungu wa wasukuma, Mfalme Zamaridi. Mungu tunayemuabudu kwenye vitabu vitakatifu kama Biblia na Korani hawezi kutoa zawadi kwa Watanzania ya Rais anayeharibu uchumi, mwizi, mwongo, mtekaji na muuaji.
Na kukuthibutishia kuwa Magufuli hakutoka kwa Mungu wa Ibrahim, Yakobo na Isaka, ndiyo maana mara baada ya kufanikisha wizi wa kura za uchaguzi Mkuu wa 2020, akanyakuliwa na kutupwa jehanam ndani ya siku 114 tu.
Muache Mungu wetu usimhusishe na shetani wa Chato