love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Magufuli ataishi milele..Naomba niwe wa kwanza kunyosha mikono kwamba nimepita huko mitandao mingine nimejionea mabandiko ya huyu mwamba.
Nikaona aibu nikasema ngoja nirudi tu WhatsApp. Wakati nachungulia status, nikakutana tena na mabandiko.
Nimeamua kuzima simu yangu na kulala, hivi huu uzii ndio namalizia kupost ili nimalizie kulala.
Hii siku sio nzuri kwangu kabisa, ni legacy gani yenye nguvu kiasi hiki. Yaani hadi vitoto vinapost status za huyu jamaa.
Jina lake limeandikwa kwa wino wa dhahabu katika
mioyo ya watanzania walio wengi,