happyxxx
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 604
- 1,970
Mbona watu wengi sana wamepata ajira kipindi cha Magufuli...wewe hauajiriki uwezo ni tatizoYeye mwenyewe alikiri hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona watu wengi sana wamepata ajira kipindi cha Magufuli...wewe hauajiriki uwezo ni tatizoYeye mwenyewe alikiri hilo.
Umesha lala ila ume comment? Au unaandikia ndotoni?Nimeshalala, nitacomment kesho💤😴😴
Ungekua ulishamfuta wala usingehangaika kuja ku comment kwenye hii thd inayo muhusu,Mimi nilimfuta tarehe kama ya leo bila ugumu wowote
Mimi sina tatizo la ajira. Namshukuru Mungu kwa hilo. Concern yangu ni jamii kwa ujumla.Mbona watu wengi sana wamepata ajira kipindi cha Magufuli...wewe hauajiriki uwezo ni tatizo
Ungemfuta usinge onekana kwenye huu uziMimi nilimfuta tarehe kama ya leo bila ugumu wowote
Kwa raha gani mtu alikua na kibetri hata kupaa na ndege alikua hawezi. Nakazia;Utakufa pengine bila kufikisha hiyo miaka 62.
Nakuponda raha kama alizoponda.
Wivu na chuki unazo wewe ila tambua tu magufuli alipendwa sana tu nduguAnapendwa na kukubalika kwenu
Hakuna Nguvu inayo TumikaMnatumia nguvu sana kulazimisha vitu.
Kama Pua lako lina angalia chini Nawe Utakufa pengine hata Hiyo miaka yake hutaigusaKwa raha gani mtu alikua na kibetri hata kupaa na ndege alikua hawezi. Nakazia;
Cha muhimu kafa na nchi inaendelea.
Hawezi kuishi milele ameshakufa kwa korona mwaka mmoja uliopita.Magufuli ataishi milele..
Jina lake limeandikwa kwa wino wa dhahabu katika
mioyo ya watanzania walio wengi,
Kwahiyo sasa watu kusema rip ndiyo unasherehekea ??? 🤣🤣🤣
Vp na Cheti chako fake ulishakifuta pia!? au bado unatamba nacho kisa Mwamba hayupo tena!?Mimi nilimfuta tarehe kama ya leo bila ugumu wowote
Kumkubali jiwe inabidi akili yako iwe kama hii. Ila poa tu hakuba jamii ambayo haina watu kama wewMkuu hawa vibaraka wanakera sana katika nchi yetu matatizo yote tunayopitia leo yamesababishwa na awamu ya nne wale watu walijua kufuja pesa wanakuja kumtukana mtu aliyewasidia kwenye kipindi kigumu kama cha Corona walitaka lock down si wangekufa ila mwamba kakataa huo upuuzi wao ndio maana wana mchukia.
Hata wwe ukifa kuna watu watafurahi pia,tena wengine ni ndugu zako kabisa au Marafiki zako!!wote tutakufa Ila Kuna watu wakifa lazima taifa lifurahi, huyo mtu wenu
Sasa mnaangaikia nini kama mungu wenu hawezi kufutwa, hofu inatoka wapi?Practically haiwezekani.
Inamaana wwe bila ajira huwezi kuishi!? Achaa kua tegemezi wa ajira tu,jifunze kupiga Miguu yote miwili!!Kapotezea timing watu ajira miaka 5 mfululizo.