Nyie mnaangaika sana, kama hatuna habari naye tena, tulifanya makosa ila Mungu akatusaidia kurekebisha. Ndiyo maana hata Samia hakuwa na mpango wa kwenda hukoNani anahangaika kati yetu na nyie mliojaa chuki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mnaangaika sana, kama hatuna habari naye tena, tulifanya makosa ila Mungu akatusaidia kurekebisha. Ndiyo maana hata Samia hakuwa na mpango wa kwenda hukoNani anahangaika kati yetu na nyie mliojaa chuki?
Acheni ujinga mfanye mambo mengine, hata serikali haina habari naye tenaMnatumia nguvu kubwa sana ku-discredit legacy yake, na bado mmefeli pakubwa. Mtakufa kwa chuki mbuzi nyie.
Sawa boss, tuache tuhangaike.Nyie mnaangaika sana, kama hatuna habari naye tena, tulifanya makosa ila Mungu akatusaidia kurekebisha. Ndiyo maana hata Samia hakuwa na mpango wa kwenda huko
Ukifanya wewe hayo mambo mengine inatosha... Usitupangie.Acheni ujinga mfanye mambo mengine, hata serikali haina habari naye tena
Jamaa alikuwa ni sawa na oil chafu. Oil chafu ukijalibu kuichafua lazima utachafuka weweNaomba niwe wa kwanza kunyosha mikono kwamba nimepita huko mitandao mingine nimejionea mabandiko ya huyu mwamba.
Nikaona aibu nikasema ngoja nirudi tu WhatsApp. Wakati nachungulia status, nikakutana tena na mabandiko.
Nimeamua kuzima simu yangu na kulala, hivi huu uzii ndio namalizia kupost ili nimalizie kulala.
Hii siku sio nzuri kwangu kabisa, ni legacy gani yenye nguvu kiasi hiki. Yaani hadi vitoto vinapost status za huyu jamaa.
Tatizo ni pale mnapofosi kuchanganya ujinga na werevu. Nyie mkimpenda na kumkumbuka mimi nadhan inatosha, msitake na sisi tuingie kwenye ujinga wenu.Watanzania siyo wajinga. Wanaona na wanafanya comparison. People can tell the difference. The more they try to tarnish his image, the more ordinary people miss him and appreciate him
Kama Mengi alivyoacha Skendo ya kuzaa na mdangaji, now familia yake inateseka tuukifa usiache skendo ;uache pengo.. utkumbukw daima.
Unaonekana hamnazoUngemfuta usinge onekana kwenye huu uzi
Huyo mwamba ni nani?Naomba niwe wa kwanza kunyosha mikono kwamba nimepita huko mitandao mingine nimejionea mabandiko ya huyu mwamba.
Nikaona aibu nikasema ngoja nirudi tu WhatsApp. Wakati nachungulia status, nikakutana tena na mabandiko.
Nimeamua kuzima simu yangu na kulala, hivi huu uzii ndio namalizia kupost ili nimalizie kulala.
Hii siku sio nzuri kwangu kabisa, ni legacy gani yenye nguvu kiasi hiki. Yaani hadi vitoto vinapost status za huyu jamaa.
Kumbe nilkua naongea na mtu aliyelala!!Nimeshalala, nitacomment kesho[emoji99][emoji42][emoji42]
Jamaa kuna mambo nilikuwa simkubali , Ila mwamba ni next level ,Kuna watu wanazani legacy ni kama mzimu, wanapiga kelele tu "acha legacy yake ijitetee ".
Kipindi cha nyakati ngumu kama.
1.Mgao wa umeme kimya
2.Mgao wa maji kimya.
3.Tozo kimya.
4.Bei ya mafuta imepanda tokea mwaka jana mwishoni, amabayo imegusa bidhaa nyingine kimya.
5.Watu wanajipigia hela plus utendaji na uwajibikaji wa watumishi umepungua kimya.
Ukiona watu wanasema neno "angekuwa fulani........",basi jua legacy yake inaanza kujitengeneza.
Hamna mtu anayependwa na kila mtu, lazima wale wenye mimba zao za chuki kwenye mawazo yao lazima wawepo na ndimu hamna so lazima wateme shombo, hata Nyerere kuna watu hawamkubali ila still legacy yake inaishi.
Bahati kwa nature ya kazi yangu nimezunguka sana baadhi ya mikoa,nimeshudia hospitali ulizojenga kila wilaya, mahakama kila wilaya barabara za kisasa,nimeshuhudia majengo mapya ya ofisi za wakuu wa wilaya na wakurugenzi na zaidi nilishuhudia barabara ya km 50 ya zege kuelekea Ludewa.Kuna miradi kibao kaiacha inachechemea angekuwa mwenyewe sasa 70% ingekuwa tayari ishaisha.
Pumzika tu ila pengo lako halina spea, vitu ulivyo vifanya vinaonekana huitaji kutumia nguvu.
RIP Chuma John Pombe Magufuli.
Kuna watu wanazani legacy ni kama mzimu, wanapiga kelele tu "acha legacy yake ijitetee ".

Isipokua wenye vyeti feki na wakwepa kodiMagufuli ataishi milele..
Jina lake limeandikwa kwa wino wa dhahabu katika
mioyo ya watanzania walio wengi,
Mtizamo wako hujashikiwa bunduki kukubali hata huyo Yesu kuna watu hawa mkubali, ila haiondoi anapendwa na walio wengi.Legasi yake iko hadi bungeni, bunge la kijani liliopitisha tozo.
"Kosa kubwa alilofanya ni kutomaliza kushughulikia wahuni" - Balozi Humphrey Polepole.Mkuu hawa vibaraka wanakera sana katika nchi yetu matatizo yote tunayopitia leo yamesababishwa na awamu ya nne wale watu walijua kufuja pesa wanakuja kumtukana mtu aliyewasidia kwenye kipindi kigumu kama cha Corona walitaka lock down si wangekufa ila mwamba kakataa huo upuuzi wao ndio maana wana mchukia.
Kama mimi ni muuwaji ni haki yao kufurahiHata wwe ukifa kuna watu watafurahi pia,tena wengine ni ndugu zako kabisa au Marafiki zako!!