Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Was honest but si kwamba hawez kuiba.1.5 Trillion sio hela kidogo,angekuwa amezichukuwa tungeziona Chato,hazionekani!Semeni msemalo ninyi keyboard warriors,Ila hamtabadilisha mawazo yetu.Magufuli was such an honest President kiasi kwamba hawezi kuiba.1.5 trillion.Hela hizo zimetumika for government genuine business na kwa maslahi mapana ya taifa.
Kuna 1mil za kuiba and you dont know that.
The fact hakuna ajuae his true identity.
Na yapi aliyafanya behind public ni busara kukaa kimya maana most of you guys mnaandika speculations tu.
Hakuna ajuae the truth.
And probably haitojulikana