Magufuli, a Man of the People

Sio kosa langu, ni kosa lako kukataa ushauri wangu.
What advice have you given.Mtu ambaye hujui hata definition ya 'advice" is not worth to argue with me.
 
Hata body language huijui?

Magufuli alipokuwa anatoa hizo kauli ilikuwa ni critical threat kwa watu wote ambao wanamkosoa

Wakati Magufuli anasema msaliti lazima auwawe ndio siku hiyo hiyo ambayo masaa machache lissu akapigwa risasi

Kama utataka kumtetea kuwa sio yeye, kwanini hakuunda operation ya uchunguzi wa tukio hilo?

Kwanini alizuia watu wasimuombee lisu pamoja na kumnyima haki zake za kibunge?

Magufuli kafariki ila sio wote wameumia, kwangu mimi kipaumbele nakiweka kwenye kujali uhai wa mtu kuliko tozo za mihamala
 
Umenena vyema mkuu, Rais wa wanyonge aliyepiga 1.5tr
 
Magufuli alikuwa na taarifa zote za kiintelijensia kuhusu Lissu,taarifa ambazo wewe huna,kwa hiyo unaongea usiyo yajua,ingekuwa busara kwako kunyamaza.
 
Wewe ni mnyonge ambaye hujui maovu na mauaji aliyofanya jiwe. Mkiona barabara basi unabinuka na kusema maendeleo si ndiyo haya, hujui maendeleo ni zaidi ya barabara. Mtu kama wewe ambaye hata kodi hulipi kweli unaweza kuchambua mambo ya nchi? Jua tu kuwa mungu wako alikuwa muovu sana
 
Magufuli alikuwa na taarifa zote za kiintelijensia kuhusu Lissu,kwa hiyo unaongea usiyo yajua,ingekuwa busara kwako kunyamaza.
Sasa asiwe nazo wakati yeye ndiye aliye lead the whole operation?
 
Narudia,ninyi ni warriors tu wa mtandaoni,hamtabadilisha msimamo wa Watanzania kwamba JPM is the best President Tanzania has ever had.

Maombolezo ya kifo chake proves this assertion
Serikalini yenyewe hata ilishampuuza
 
"Wakati Magufuli anasema msaliti lazima auwawe ndio siku hiyo hiyo ambayo masaa machache lissu akapigwa risasi"

"Kwanini alizuia watu wasimuombee lisu pamoja na kumnyima haki zake za kibunge?"

Unaweza thibisha hizo kauli? Sababa events zote za Magu zilikuwa covered na Azam kupitia UTV, TBC na Millard Ayo.

Kwa hiyo ww unatizama body language then unahukumu.

So Ulimboka kutekwa ,Mwakyembe kulishwa sumu,Kubenea kumwagiwa tindikali, yule boss mwenye maduka pale Msimbazi kumwagiwa tindikali nk hatuwezi kumuhukumu rais wa kipindi hiko sababu ya body language yake duuuu. Nyie ndio wale mvua ikinyesha kipindi jua linawaka "Simba anazaa ".
 
Nchi yoyote mambo kama hayo hayakosi. Sema yanafanywa na nani? Jiwe alikuwa anaua watu wake.
 
Magu nilikuwa namkubari sana, polisi, TRA na ofisi za serikali aliwanyoosha kweli kweli, walikuwa wanatuheshimu mnoo.

Alipoingia huyu mama ni zaidi ya marais waliopita, Mpaka sasa bado namtambua mama ndiye the best president of Tanzania everrrr. Anaupiga mwingi.
 
Kama wew ni mjinga na ukaitwa mjinga basi huna budi kukwazika, just enjoy it.
Unajua kwamba ujinga siyo tusi? And is just a subjective opinion. So long you cannot prove it na wewe ukibaki unalazimisha mawazo yako yawe sahihi then unakuwa ni tatizo
 
Siku ukitoka hapo kwa shemeji ndio utajua kwanini Magufuli ataendelea kuishi mioyoni mwa wapenda haki, amani na maendeleo ya kweli.
Kwa taarifa yako Bandari ya Dar es salaam inatafutiwa mwekezaji, imetushinda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…