miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
basi kawaumbuaWale ndio kawaida yao.
basi kawaumbuaWale ndio kawaida yao.
Hawa kampuni ya BAM International walikuwa wanafunga leo shughuli za ujenzi wa kiwanja na kusepa,sbb walikuwa wanaidai serikali karibu bilioni 12 na serikali ikawa haijalipana wakabisha
Bampa to bampakitu juu ya kitu au sio..................
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mwambie drama zimetuchosha asibadilishe mada wamelianzisha la unga walimalize. Huo ucosultanat anautaka wa nn wakat yy ndio kila kitu
Baba ulichokiandika na Mimi nilikuwa nataka kukiandika hiko hiko mi tz mijinga sana hayafatilii mambo kila linalosemwa linashangilia bila hata kujua anashangilia niniHawa kampuni ya BAM International walikuwa wanafunga leo shughuli za ujenzi wa kiwanja na kusepa,sbb walikuwa wanaidai serikali karibu bilioni 12 na serikali ikawa haijalipa
Uzi ukaletwa humu,ikaonekana kama jamaa watafunga kwa kukosa kulipwa na Gvt itakuwa aibu,na watu watazidi kuhoji kwanini Dsm mradi usimame halafu kule "Ikulu ndogo" uwanja uendelee?Kumbuka kule "Ikulu ndogo" lami ishamiminwa,hatua iliyopo ni ujenzi wa jengo(Terminal Building).Na upigaji wa picha umedhibitiwa sana.
Ndio maana Mzee hapo anasema kuwa madeni wanayodaiwa watalipa haraka,sbb hata vibarua wa chini walikuwa wanakosa mishahara sbb kampuni haijalipwa na Gvt.
Lkn bila kutazama mzizi!!Watu watashangilia sana hii "episode" ya leo!!Lkn wakati utatuambia
Hii kitu imeletwa jana hapa kuhusu kusimama kwa mradi kumbe ulikuwa ni ukweli mtupu?!
kumbe kwa hiyo tunachezewa akili duh basi sawaHawa kampuni ya BAM International walikuwa wanafunga leo shughuli za ujenzi wa kiwanja na kusepa,sbb walikuwa wanaidai serikali karibu bilioni 12 na serikali ikawa haijalipa
Uzi ukaletwa humu,ikaonekana kama jamaa watafunga kwa kukosa kulipwa na Gvt itakuwa aibu,na watu watazidi kuhoji kwanini Dsm mradi usimame halafu kule "Ikulu ndogo" uwanja uendelee?Kumbuka kule "Ikulu ndogo" lami ishamiminwa,hatua iliyopo ni ujenzi wa jengo(Terminal Building).Na upigaji wa picha umedhibitiwa sana.
Ndio maana Mzee hapo anasema kuwa madeni wanayodaiwa watalipa haraka,sbb hata vibarua wa chini walikuwa wanakosa mishahara sbb kampuni haijalipwa na Gvt.
Lkn bila kutazama mzizi!!Watu watashangilia sana hii "episode" ya leo!!Lkn wakati utatuambia
Rais si mtu mchezo mchezo lazima ulinzi uwe juu siku zoteMbona usalama upo juu hivyo ? kwa kikundi kidogo cha watu au ndo kujihami na hii vita ya wazee wa sembe
Mambele.....Mimi binafsi ni mmoja wa watu walioumia niliposkia ujenzi umesimama jmn ni vyema mkaumaliza huo uwanja maaana tuendapo mambele huko tunazoea zoea Ile hali ya Airport sasa ukirudi tu unakutana na balaa la kwetu hapa ni aibu kwakweli
Hahaaaaaaa....ufipa hakukalikiMwambie drama zimetuchosha asibadilishe mada wamelianzisha la unga walimalize. Huo ucosultanat anautaka wa nn wakat yy ndio kila kitu
Umeuona orodha ya Makonda?Kiki@work