Inawezekana.Consultant? How? Mkemia anakuaje consultant wa majengo? Wakat hyo project inaanza hakukua na consultant mpk yeye leo aje aseme atakuwa consultant?
(Engineering project yoyote kabla haijaanza lazma iwe na Consultant, Contractor na Client)
Hizi drama hizi sjui ztaisha lini maana naona 2020 mbali kwel
Hio ni unplanned Tour mkuu lazima security iwe Kubwa kidogoMbona usalama upo juu hivyo ? kwa kikundi kidogo cha watu au ndo kujihami na hii vita ya wazee wa sembe
Naona mmkeremishwa kila apingae jambo ni mhanga wa unga au mpiga dili ndio mwana mnafanya mazezeta na viongozi kla kukicha issue ya airport watu walishareport kitambo sana hii ni kick inayotafutwaWatanzania tufike mahali tuache kushabikia ujinga......... Kisha tuwapongeze viongozi pale wanapofanya kazi na kutimiza wajibu wao. Km wewe ni mmoja wa wahanga pole na punguza munkari.
Ahahahaha yaani kama ni radio presenter tunasema kapanga CDs yeye kaenda kulala...yani kitu kinajipiga tu,ah nchi hii aisee hadi burudani!kitu juu ya kitu au sio..................
Kule njaa kule wahanga wanalala nje...Mungu laani viongozi wote wa Tanzania wasiojua ninini maana ya karama ulizowapa!!!Aisee nchi ipo busy hadi raha yan! huku magufuli huku makonda !!! Mungu Ibariki Tanzania.
I like it!!!!na wakabisha
Then litajengwa chini ya kiwango....si kasema rais bwana na miundombinu itawekwa ya kiwango cha chini baada ya mwaka mabomba ya maji yatapasuka wagonjwa wakose maji...guess what,wagonjwa watakosa maji na wataambukizana maradhi zaidi na serikali itabidi kuwahudumia, hatujazungumzia jengo kuporomoka bado.tuache upoyoyo kushabikia vitu vya ajabu ajabu.Inawezekana.
Hata wewe nyumba yako unaweza isimamia kwa kujua simenti itatumika mifuko mingapi.
Soma hapa chini.
Rais Magufuli: Nataka niwaeleze ukweli, nimesomewa ripoti hospitali itatumia bilioni 46, hiki kitu hakiwazekani.
-Rais Magufuli: Nasema haiwezekani, nataka hospitali hiyo ikamilike sio kwa pesa hizo mlizozipanga. Ntaleta bilioni kumi jengo liishe.