Huku kazi ikiendeleaWaache washindanie coverage kwe magazeti front page yeye na makonda wake
Huku kazi ikiendeleaWaache washindanie coverage kwe magazeti front page yeye na makonda wake
Unashangaa walinzi je angetembelea bullet proof gabriolet Kama ya Kenyatta si ungezimia?Mbona usalama upo juu hivyo ? kwa kikundi kidogo cha watu au ndo kujihami na hii vita ya wazee wa sembe
Aisee nchi ipo busy hadi raha yan! huku magufuli huku makonda !!! Mungu Ibariki Tanzania.
Mpk ufipa sab panafanana na chooataendelea kushtukiza hadi chooni
Mpk ufipa sab panafanana na chooataendelea kushtukiza hadi chooni
Nalazimika kuku kubali sana tu!! Maana hamna namna tena!!Hawa kampuni ya BAM International walikuwa wanafunga leo shughuli za ujenzi wa kiwanja na kusepa,sbb walikuwa wanaidai serikali karibu bilioni 12 na serikali ikawa haijalipa
Uzi ukaletwa humu,ikaonekana kama jamaa watafunga kwa kukosa kulipwa na Gvt itakuwa aibu,na watu watazidi kuhoji kwanini Dsm mradi usimame halafu kule "Ikulu ndogo" uwanja uendelee?Kumbuka kule "Ikulu ndogo" lami ishamiminwa,hatua iliyopo ni ujenzi wa jengo(Terminal Building).Na upigaji wa picha umedhibitiwa sana.
Ndio maana Mzee hapo anasema kuwa madeni wanayodaiwa watalipa haraka,sbb hata vibarua wa chini walikuwa wanakosa mishahara sbb kampuni haijalipwa na Gvt.
Lkn bila kutazama mzizi!!Watu watashangilia sana hii "episode" ya leo!!Lkn wakati utatuambia
Mkuu Eagle pia ni bia! Tandika tu kama kipato kinakwamia hapo!Windhoek waachie kina Wema na Lulu wenye pesa zisizo na jasho!Mimi ni mpenzi sana wa Bia sasa Nina mwezi wa tatu sijalamba ngano. Naona wenzangu wanakula Eagle Je tunakusanya Mapato ya Kutosha.?
Wewe pia unanukia harufu ya C.H.O.OMpk ufipa sab panafanana na choo
bize kujinadi hahaahaaaaaaaaaaaa
Kule njaa kule wahanga wanalala nje...Mungu laani viongozi wote wa Tanzania wasiojua ninini maana ya karama ulizowapa!!!