domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,588
- 1,760
Mwambie drama zimetuchosha asibadilishe mada wamelianzisha la unga walimalize. Huo ucosultanat anautaka wa nn wakat yy ndio kila kitu
Ukishika dola unafanya wewe unachotaka na sio walioshindwaa wanachotaka. Muache atumie power yake aliyoipigania, hayo ndio matunda ya kushinda uchaguzi ili upate power, hili somo gumu kulielewa eenh? Hautakiwi uchoke, unatakiwa ulegee, utulie, uwe mpole ufanywe wanavyotaka uliowapa power mpaka miaka mitano iishe. Yaani kama wale mnaowalipiaga usiku mzima mnavyowafanya! Kwaaaaaaaa!