Uchaguzi 2020 Magufuli akishinda tena Urais mimi nahama Nchi

Kwani ukiondoka wewe taifa litapoteza kitu gani kakubwa, kiasi cha kutetelesha shughuli zake🤔? Acha kujifurahisha, we hamisha hata ukoo wako wote😄😄.
 
Fanya kushawishi muondoke wengi ili wengine wapate fursa.
 
Nitakukumbusha ukisahau maana atashinda
 
Anza kufungasha mkuu, soon uingie pipa uzame ubeligiji. Magu is the prezda that's for a fact. Ukiingia jf na Twitter unaweza dhani nchi imechafuka kuna vita balaa, utadhani Lissu anakubalik 150%, uhalisia upo mitaani.
 
Hama aisee...nakuunga mkono, Somalia au Sudan kusini kutakufaa mno.
 
Ondoka mazezeta mpungue,mnawapa usumbufu madaktari wa mogonjwa ya akili kilasiku vichaavinawapanda kichwani.
 
Kwani wewe ni Mtanzania? Nyang'ao mkubwa!!
 
Lini amewahi kushinda? NEC ndiyo huwa inashinda mkuu
Huu ndio ukweli...... Maapizo na Hasira ulizoziona miaka 5 jamaa anapiga tu makelele na kufokafoka ni kwa sababu hakushinda uchaguzi hata nape alikiri hivyo lkn Bashiru amekuja kueleza ukweli wote....
 
Ni ufala nchi kuendelea kuwa chini ya washamba na malimbukeni hawa mashetani ccm........

Naunga mkono hoja kiasi fulani, japo kinachotakiwa ni kuingia barabarani kudai haki yetu km tukizurumiwa........
 
Anza kukusanya mizigo tu maana NEC imeshampitisha leo kuwa mgombea na anasubiri kuapishwa tu
 
Techncaly wewe ni k*ma flani tu kwenda zako kalalwe
 
Huendi kokote hillo ni wenge tuu time is everything NITAKUKUMBUSHA
 
Ukweli ni kwamba maisha yatakuwa zaidi ya yale ya Ethiopia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…