Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa



Nakujibu kwa kuwa nimeona utulivu Fulani ktk andishi lako.

Kama kuna uvunjaji wa taratibu na vyombo vya dola vikawa fair kwa pande ZOTE naamini tusingefika huko.

Shida ni pale kosa linapofanywa kwanza na Ccm police na tume wakakaa kimya then Ukawa wanapofanya kosa hilo na zaidi Polisi wana kuwa na hofu ya double standard hiyo tayari ni shida.

Umezungumzia kauli za mbowe vipi kuhusu maneno ya bulembo kuwa Ccm haiwezi kuachia ikulu na tume imesema ni ya kisiasa, ukweli ni kuwa MTU asiye na ufahamu Mkubwa aliyeamua kumpa kura Lowasa anaweza asiende kupiga kura . kwanini apoteze muda wakati Ccm haitaachia ikulu kwa kura??

NINATAMANI TUFIKE MAHALI VYAMA VYOTE VIFANYE SIASA ZA HAKI, NA VYOMBO VYA DOLA NA TUME VIWE HURU KUFANYA KAZI ZAO.

LKN HAYO SIO RAHISI ISIPOKUWA KWA HISANI YA CCM AU KWA KUING'OA CCM TUJIPANGE UPYA, NAFASI TULIYONAYO KWA SASA NI KUITOA CCM ILI TUANZE UPYA.

Sorry ninamjibu Eric Cartman lkn Niki quote inatokea post yako
 
Last edited by a moderator:

acha fikra potofu kudhani kila anayepiga ccm na mgombea wake wameandaliwa. kwahiyo mtu akikupinga amebutuga amani?halafu kwani watu wanaopaswa kwenda kwrnye mikutano ya kampeni ni wafuasi wa chama tu au bado ni upotofu uliopitiliza? i hope that mesaage is sent very loud and clear kwa mgombea kuhusu msimamo wa wananchi wa eneo husika.
 

mna ustaarabu gani? mbona mlitaka kumtoa roho mkuu wa sungusungu?huu mwaka hamchomoki hata dunia inajua kuwa hamshindi that's why the hague wapo 120 hapa wanawavizia tu,jinsi mlivyo kiherehere ingekuwa Lowassa kaambiwa hivyo hilo ndo lingekuwa tangazo kubwa la TBC na Star TV,kama flashback kubwa ya kampeni zenu.
 

Dah hadi aibu.ccm wanahangaika kama punda anaetaka kuzaa. Wanahangaika na mbinu zote chafu zinabuma.
 

Hujaelewa nini jamaa kaweka maelezo na video juu Hujaelewa nn?? Ndio maana Rais wetu anasema kipaumbele cha kwanza
#1 Elimu
#2 Elimu
#3 Elimu!!!!!
 
Sasa hii ajabu yaani Mh Magufuli amezomewa na vijana wa mjini kijiweni waliochoka na ahadi za mama kuku mwanangu utanyonya kesho mnaanza kutafuta mchawi upinzani. Hao vijana ukiwafuatilia utakuta hawana kadi za chama chochote si chadema wala ccm ni watanzania. Badala ya kukaa chini kujitafakari kwanini vijana hawa makapuku, masulupwete wavaa malapulapu wanatuzomea mjirekebishe mnaanza kuwanyooshea vidole wapinzani, jeshi mnalo, taasisi za utafiti mnazo mngewaomba hata twaweza wafanye utafiti kwanini mnazomewa basi, serikali ipo chini yenu, kodi zote mnakusanya nyie, bajeti mnapanga nyie. Hivi hao vijana wangekuwa wamepewa ajira some where kwenye kiwanda wangeacha kazi kuja kuwazomea? Tujitafakari!!!!
Mimi nashangaa hivi mfanyakazi wa benki kwa mfano anapata wapi muda wa kwenda kumzomea Magufuli? Vijana watafutiwe suluhisho kikwete aliwaahidi ajira angetekeleza angeona kama Magufuli angekuwa anapata tabu
 
Hatuitaki CCM, maana kuendelea ni sawa na kuendeleza mfumo ule ule
 
Kwani alietupa Bomu Arusha hatumjui???? Si mtu savimbi aliuwa watu halafu anajifanya kwenda kutubu kwa TB Joshua. Hiyo laana itamtafuna yeye na kizazi chake.
Hivi ukiulizwa leta evidence ya utaratibu wa CDM kufanya mikutano inayo jirekodi na CCTV kama kwenye ule mkutano wa Arusha walivyofanya unayo?

Halafu yeye ndio mtu pekee mwenye evidence ya video ya tukio, the whole thing is amateurish but then you dont expect extensive planning kwa mtu alieshia form six na kufeli halafu apange mkakati ni Lema; i dont think it a mission kuona nani muhusika wa bomu la Arusha. Halafu watu hawa ndio wapewe nchi kweli, serikari ya Tanzania inamchekea sana Mbowe huo ndio ukweli wenyewe.
 
Kinachoniuma ni kwamba zigo la lawama atarushiwa dereva wake kwa kusimamisha gari! Sasa angeondoaje gari hapo? Namuonea huruma sana maana hana kosa
 
Teh teh teh!!

Kamanda angalieni sana hawa wahuni wanapunguza kura za Ukawa.

Hata Kamanda Mzito Kabwela kachukia sana.

Hakuna kura iliyoandikwa kuwa hizi Kura za wahuni ,hizi za wastaarabu.tunahitaji kura za wananchi wote wa Tanzania.,,UKAWA hatubagui mtu sisi.mmezoea kula mali za Nchi nyinyi wachache mpaka leo mnajisahau kuwatenga Watanzania heti hawa wahuni,mama ntilie,boda boda,..tunataka Raisi wa Watanzania wote na huyo Raisi ni tayari Mh Lowasa.tumeshamchagua.ambaye atawahudumia wahuni ,wastaarabu,walemavu,nk.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…