Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

vizuri hao km wanaakili wangemkataa ndani ya box.. lakini huko ni kuonesha kuwa lowasa anasapoti ya wahuni pekee...
 
Mkuu kama mnajiamini mna nguvu ya umma mnahangaika nini sasa si msubiri October 25 tuone hizo nguvu ya umma.
 
Na bado hzo bangi znawachanganya uxhnd pale pale bila wasi,dalili zmeonekana hao ni kama bendera tar 25 Oct mawazo yao yatabadilika
 
vizuri hao km wanaakili wangemkataa ndani ya box.. lakini huko ni kuonesha kuwa lowasa anasapoti ya wahuni pekee...
Tunahitaji kura za wahuni, wavuta bangi, machangudoa na wengineo walio kwenye muktadha huo
 
Bavicha bana sasa hapo nguvu ya ipo wapi hao wahuni wachache wanaopiga kelele?

Wapiga kura wametulia majumbani hawana fujo.

Endeleeni kujifariji mtakimbia humu baada ya uchaguzi.

hehehehehe....
 

Kumbe inawaingia eeehhh. Na bado.
 
Kwa hadhi yako kamanda mpaka umeamua ku-comment manake imeku-touch na dawa imekuingia sawasawa. Tulia kamanda japo sindano inauma lakini sharti usitikise makalio isijevunjikia takoni ikawa balaa.
Teh teh teh!!

Kamanda angalieni sana hawa wahuni wanapunguza kura za Ukawa.

Hata Kamanda Mzito Kabwela kachukia sana.
 
Last edited by a moderator:
Dah hatariiiii mbeya hawataki mchezo wamekinukisha mbaya.

Mtarajiwa Magufuli akiona vipi awaachie ccm yao maana wanamchomekea baba wawa mpaka anapiga pushapu kunusuru ccm bado wanasisiemu wanamzunguka ku muharibia
 

Hao wavuta bhangi na viroba kura zao ndio mwiba mkali wakuichoma ccm. Mna dharau sana nyie mafisiem hivi mnajionaga nyie ccm mataaaaawi sana eeh! Ndio maana Mkapa akawatukana wananchi wapumbavu na malofa? Haya sasa malofa hapo wamewaonyesha ubora wao.
 

Kumbe inawaingia eeehhh na bado. Yalokuwa yanafanywa dar kutengeneza vijana mlichekelea. Hahaaa hayo ndo mabadiliko na bado.
 
Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa
Mabadiliko hawayapati kwa mdoli kamwe, mabadiliko ni kwa Magufuli pekee
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…