Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue ya Burkina Faso na Tanzania hazina uhusiano wowote usichanganye mambo Tanzania ni nchi ya demokrasia wananchi ndiyo wanahamua.
leo asubui Magufuli wakati akipita mbeya
kakutana na zomea zomea
eneo la mwanjelwa na uyole
kuna wana ccm walipangwa wamzuie ili ionekane wananchi wamemsimamisha azungumze
kibao kikageuka watu wakaanza kukimbia nakuanza kumzomea
ccm acheni maigizo leo yamewaponza
hiv mnadhan CCM wao hawawez mzomea lowasa? hiyo n dalili ya kushindwa, mmekubali kushindwa mapema mmeanz akuzomea, haya wenye timamu hatuzomea tutampa kura huyo huyo 25 oct.....
Ndoto ya mchanaI can just imagine. Oktoba 25 siyo mbali. Hivi hao wahuni wa Mbeya watakuwaje after October 25. Magufuli for sure ndiye Rais wa awamu ya tano, atashinda kwa karbu asilima 70.
Hii issue ya kusimamishwa na wananchi hata mimi nilishaishtukia kuwa ni maigizo.
Leo yamewa backfire....
kupitia coup d'etat au?Acha ubabaishaji kijana.nchi imeshachukuliwa na ukawa!
kama viroba vimekushinda jaribu gongo labda. maana akili zenu mashoga haziwatoshi.Limelegea limagufuli kama limefumania